Pre GE2025 Baada ya kugawa pikipiki za Samia, inadaiwa pia kuna Helkopta na Magari 400 kwaajili ya Kampeni za mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa uchaguzi gani, huo wa kupanga matokeo?
Huu ni mtindo mpya mkuu 'Tindo'. Badili mawani kidogo kama hayo uliyonayo kidogo yameanza kupata ukungu.

Badala ya kuiba kura kwa nguvu, Samia anakuja na mtindo wa kuzinunua kura hizo, huku akitabasamu na kurembua macho!
Utafanya nini hapo. Hilo ndilo swali linalotaka jibu.
 
👏👏👏🤣
 
Ukiona nguvu kubwa inatumika kusifia ujue shida ipo.
Ukweli ni kwamba, huyu mama toka siku ya kwanza ofisini alianza mikakati ya ununuzi wa 'chawa'.
Kundi la kwanza kabisa alilotafuta kuliteka ni wasanii. Na hapo kampeni zitakapo anza utaona kazi zao wanazofanya wakiwa chini ya uajiri wa Samia. Watavuna sana pesa hawa.. Pesa siyo tatizo kwa samia, kwa sababu wajomba wapo.
 
Ukiona nguvu kubwa inatumika kusifia ujue shida ipo.
Endeleen kusema hvy tuu, nyie jifanyeni hamtaki kutoa kitu kwa wananchi, wapiga kura wenyw hawa vichwa maji bila kitu hakupi kura

Pikipiki moja ni 2500000 huyu Mama "Uza Uza" kaleta Pikipiki 18000 hizo fedha kazitoa wapi?!
Hizo pikipiki 18k ziko wap mkuu mbona mm nasikia 700 za Singida tuu au ratiba ya mikoa mingine haijatoka?
 
Wajomba wamedhamiria kumrudisha mpwa wao madarakani kwa hali na mali.
Hapana.

Sema wajomba "Wanawekeza" wakitarajia faida ya uwekezaji wao.
Hii ni nchi inayohitaji wawekezaji wa kila aina..., mama kishatufundisha.
 
Zambia, Malawi, na juzi tu Afrika Kusini, chaguzi zao umeziona?
N nchi ngapi kati ya ngapi Afrika. Yn ishu ya upinzani kuchukua madaraka inakuwa habari njema sana kwenu wakati hamjajipanga kuchukua dola
 
Wakati huo huo pesa nyingine zinatumika kukisambaratisha chama cha CHADEMA!
 
Kama si za kibiashara mbona zina plate namba nyeupe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…