Baada ya Kugoma na Kulipwa Mamilioni yake na Uongozi Kukubaliana na Ufalme anaoutaka Yanga SC, hatimaye leo Muangola Kaamua Kuwazuga Wanayanga!

Baada ya Kugoma na Kulipwa Mamilioni yake na Uongozi Kukubaliana na Ufalme anaoutaka Yanga SC, hatimaye leo Muangola Kaamua Kuwazuga Wanayanga!

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Carlinhos Avunja Ukimya Yanga SC

Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Carlinhos hivi karibuni aliandika kwa kuanza kumshukuru Mungu lakini alienda mbali kwa kukiri kusumbuliwa na majeraha ya mfululizo kulimfanya ashindwe kutimiza majukumu yake ndani ya Yanga tangu amejiunga mwanzoni mwa msimu huu.“

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunibariki pamoja na familia yangu, ulikuwa mwaka mzuri kwangu, umeniathiri kwa majeraha ya mfululizo lakini bado nimekuwa na furaha katika mambo mengine.

“Naamini mwaka 2021 utakuwa mzuri na wenye mafanikio mengi kwa kuhakikisha kila mmoja anapigania malengo yake,” aliandika Carlinhos.

Taarifa: yangawhatsapp_makaomakuu

Sijui ni kwanini sijawa kabisa Mpenzi wa Soka la Bongo au kuwa Mshabiki wa Kuzipenda Yanga, Simba na Azam kwani zote naziona zina Usanii tu.
 
Kawazuga kivip mkuu? Hebu liweke sawa
 
Mbona kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani.

VIP unatumia cha arusha?
 
Back
Top Bottom