Baada ya kugundua Google chrome inakusanya taarifa zangu nyingi niliwahama, ni mwaka wa pili sasa natumia Brave Browser.

Baada ya kugundua Google chrome inakusanya taarifa zangu nyingi niliwahama, ni mwaka wa pili sasa natumia Brave Browser.

Wabongo bhana 😂😂 Sasa mtu mwenyewe chakula cha mchana kinakupa tabu kukipata, kwenye simu umejaza video za TikTok, mzazi wako anaomba pesa unaanza kumpiga kalenda, mtu unayewasiliana nae sana ni mpenzi wako tena hakuna la maana mnaloongea zaidi ya umbea tuu halafu ety leo hii google waje kufanya udukuzi kwenye hy Tecno yako 😂
 
Hakuna asiyejua every adults ana some nasty issues anazofanyaga online, siyo lazima iwe google..

Hata ukifuatilia browsing history za padre au muinjilisti wako unaweza kukuta anaangaliaga pono..

Wewe mtu mzima unachoficha ni nini? As long as ni vitu unavyofanyaga uwapo faragha hakuna wa kukuhoji.... Its your personal privacy..

Halafu mpaka mtu akarenew namba yako ili tu aje a-hack email yako atakuwa anatafuta nini? Labda kama wewe ni criminal mkubwa na watu wa usalama wanakufuatilia ndiyo wanaweza fanya hivyo...
 
Halafu mpaka mtu akarenew namba yako ili tu aje a-hack email yako atakuwa anatafuta nini? Labda kama wewe ni criminal mkubwa na watu wa usalama wanakufuatilia ndiyo wanaweza fanya hivyo...
Ni kwa namna gani namba yangu itamfanya ahack email yanvu,kiaje mkuu hivi inawezekana kweli ?
 
Wabongo bhana [emoji23][emoji23] Sasa mtu mwenyewe chakula cha mchana kinakupa tabu kukipata, kwenye simu umejaza video za TikTok, mzazi wako anaomba pesa unaanza kumpiga kalenda, mtu unayewasiliana nae sana ni mpenzi wako tena hakuna la maana mnaloongea zaidi ya umbea tuu halafu ety leo hii google waje kufanya udukuzi kwenye hy Tecno yako [emoji23]
Wabongo utawaweza, basi tu na yeye aonekane yumo [emoji16]
 
Ni kwa namna gani namba yangu itamfanya ahack email yanvu,kiaje mkuu hivi inawezekana kweli ?
Hapo ni mpaka mtu aswap namba yako ambayo umeiwekea Two factor Authentication na aijue hiyo email, ili akiingia kwenye email yako aclikck forget password hivyo utatumiwa code kwenye hiyo namba na kureset password, sasa jiulize mpka mtu anaswap namba yako wewe uko wapi?
Mi ndo maana nimesema jamaa kawaza kienyeji sana, na security kwenye email sio hiyo two factor peke yake .
 
Waliotengeneza hii mifumo wanauwezo wa kuingia kwenye akaunti yako wakafanya yao, wanaokutunzia fedha bank pia wana uwezo wa kuingia kwenye akaunti yako na kuchukua mzigo, unacho chat/ kuongea kwenye simu watu wanakiona; kwenye teknolojia hakuna aliyesalama, ni sawa na mod kuchungulia pm yako; kinachofanya kuwe na utulivu ni watu wa mifumo kusimamia maadili yao.​
 
Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu.

  • Google chrome ukiitumia historia yako ya kila kitu ulichosechi kitaonekana,
  • Google chrome inatunza passwords za mitandao yote unayoingia
  • Google chrome wanauza taarifa zangu binafsi kwa makampuni ya matangazo (location, jinsia, umri, elimu, vitu navyosechi, n.k)
  • Google chrome ina matangazo kibao,
  • n.k.

Chukulia mfano hata humu Jamiiforums hatupendi kufichua identity zetu, kuna watu hii nchi wanaweza kutumia vyeo vibaya (corruption9 kurenew laini yako ili kureset password ya email yako, wakizama ndani ya email wanaona passwords, usernames zako za mitandao kama jamiiforums na facebook, vitu unavyosechi, n.k.

Kiufupi mtu akipata namba yako ya simu akaingia kwenye email yako anaweza kupata passwords zako zote na kujua unachofanya mtandaoni

Kwa sasa nimehamia brave browser na wala sijutii kuchukua uaamuzi huu
  • Hali ya usiri ni kubwa na kunifanya niwe huru
  • Matangazo ni machache sana, mengi yanablokiwa
  • speed ya kuperuzi ni kubwa kuzidi chrome
  • inatumia bando kidogo kuzidi chrome

Well tatizo wengi hamsomi term and condition agreements. Google hawafichi about ukusanyajo wa taarifa

Sawa unakwepa chrome, the unatumia android which you have to sign through google account nayo ina terms and conditions zinazofanana
 
Back
Top Bottom