Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dah! pole sana ma dearest. ila ukweli ni kwamba sijui kwanini waume zetu huwa hawapend wake zao tuwe memba huku jf ama sijui it was meant for men only sipatagi jibu.
wenzio sisi huwa tunajifichaga akiwa mezani wewe unakwenda kwa b/rum ukiskia stepa zake tu unaficha unafungua yahoo. wengine tunafungaga laptop ghafla. anyway kwakua tayari tatizo limeshaingia fanya hivi tulia wala usimsemeshe chochote yaani omba msamaha mara moja amekubali sawa hajakubali sawa wewe carryon with your duties. jthd sana usionyeshe weak ness yako yaani timiza wajibu wako vyema ili asipate kosa endelevu. pia sali ukimsihi Mungu arejeshe amani hiyo.
mwisho kabisa hivi janmani sisi wanawake tutajikomboa nini? hivi kwanini ndoa zinakuwa kama gereza? wakak na wababa wa jf kwanini hampendi wake zenu kuwa memba wa jf?
This is a complete surprise to me kwamba eti kuna waume hawati mrs wao waingie jf,kisa ni nini hasa,wivu? Wanawaogopa ma sharp shooter kina Kaizer na Asprin? Waende zao huko,kha!Dah! pole sana ma dearest. ila ukweli ni kwamba sijui kwanini waume zetu huwa hawapend wake zao tuwe memba huku jf ama sijui it was meant for men only sipatagi jibu.
wenzio sisi huwa tunajifichaga akiwa mezani wewe unakwenda kwa b/rum ukiskia stepa zake tu unaficha unafungua yahoo. wengine tunafungaga laptop ghafla. anyway kwakua tayari tatizo limeshaingia fanya hivi tulia wala usimsemeshe chochote yaani omba msamaha mara moja amekubali sawa hajakubali sawa wewe carryon with your duties. jthd sana usionyeshe weak ness yako yaani timiza wajibu wako vyema ili asipate kosa endelevu. pia sali ukimsihi Mungu arejeshe amani hiyo.
mwisho kabisa hivi janmani sisi wanawake tutajikomboa nini? hivi kwanini ndoa zinakuwa kama gereza? wakak na wababa wa jf kwanini hampendi wake zenu kuwa memba wa jf?
Dah! pole sana ma dearest. ila ukweli ni kwamba sijui kwanini waume zetu huwa hawapend wake zao tuwe memba huku jf ama sijui it was meant for men only sipatagi jibu.
wenzio sisi huwa tunajifichaga akiwa mezani wewe unakwenda kwa b/rum ukiskia stepa zake tu unaficha unafungua yahoo. wengine tunafungaga laptop ghafla. anyway kwakua tayari tatizo limeshaingia fanya hivi tulia wala usimsemeshe chochote yaani omba msamaha mara moja amekubali sawa hajakubali sawa wewe carryon with your duties. jthd sana usionyeshe weak ness yako yaani timiza wajibu wako vyema ili asipate kosa endelevu. pia sali ukimsihi Mungu arejeshe amani hiyo.
mwisho kabisa hivi janmani sisi wanawake tutajikomboa nini? hivi kwanini ndoa zinakuwa kama gereza? wakak na wababa wa jf kwanini hampendi wake zenu kuwa memba wa jf?
Hata wewe gfsonwin mmeo anakufanyia hivyo? why?
Chama legelege huzaa serikali legelege...Msaidie kuelewa kwamba nia si kuhujumu CCM. Ni kuamka na kuanza kuwatumikia wananchi
:ranger:Dah! pole sana ma dearest. ila ukweli ni kwamba sijui kwanini waume zetu huwa hawapend wake zao tuwe memba huku jf ama sijui it was meant for men only sipatagi jibu.
wenzio sisi huwa tunajifichaga akiwa mezani wewe unakwenda kwa b/rum ukiskia stepa zake tu unaficha unafungua yahoo. wengine tunafungaga laptop ghafla. anyway kwakua tayari tatizo limeshaingia fanya hivi tulia wala usimsemeshe chochote yaani omba msamaha mara moja amekubali sawa hajakubali sawa wewe carryon with your duties. jthd sana usionyeshe weak ness yako yaani timiza wajibu wako vyema ili asipate kosa endelevu. pia sali ukimsihi Mungu arejeshe amani hiyo.
mwisho kabisa hivi janmani sisi wanawake tutajikomboa nini? hivi kwanini ndoa zinakuwa kama gereza? wakak na wababa wa jf kwanini hampendi wake zenu kuwa memba wa jf?
Hata mke wangu hajui kama mie ni member wa JF............. STUKA!!to be sincere he even doesn't know jf. to him he is such kind of a person ambaye hobbies ziko steshened kwenye stuli ndefu na novo na yeye akishika pc basi ujue ni nyanga na wala siyo kwenye mitandao ya kijamii.
nadhani sio Jf pekee ni social network zote wanawake wengi waliopo kwenye ndoa wanakatazwa na waume zao..unajua kwenye hizi social network watu wanahappen to meet with new people so waume zenu wapo insecure wakihisi labda wataibiwa wake zao.,poleni mwaya ndo maisha ya ndoa sie ma single ladies tunapeta tu lol!