gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
na ndio maana huwa nasemaga miaka 800 ukombozi wa mwanamke bado hautakuja. wanaume wana ubaba ambao kwa mwenye akili ataupuuzia tu yaani anataka awe ndio hata controlla wa hobbies za mwanamke.
Ila pia Bishanga kuna terms ambazo zinapaswa kuwa defined b4 anything katika mahusiano nazo ni likes and dislikes. kwangu mimi i must have my 'me time' hii ni lazima niipate and nifanye yale ambayo nasi na moyo wangu unayafurahia na pia lazima niwe na family time ambapo nitaaa na famillia na pia niwe na private time ya mimi na yeye. biashara ya kuingia ukiwa unajua uhuru umeungia stoo haya ndo matokeo. all ts all wivu wa kibaba tu.
Last edited by a moderator: