Baada ya kugundua kuwa niko JF amani imetoweka

This is a complete surprise to me kwamba eti kuna waume hawati mrs wao waingie jf,kisa ni nini hasa,wivu? Wanawaogopa ma sharp shooter kina Kaizer na Asprin? Waende zao huko,kha!

na ndio maana huwa nasemaga miaka 800 ukombozi wa mwanamke bado hautakuja. wanaume wana ubaba ambao kwa mwenye akili ataupuuzia tu yaani anataka awe ndio hata controlla wa hobbies za mwanamke.

Ila pia Bishanga kuna terms ambazo zinapaswa kuwa defined b4 anything katika mahusiano nazo ni likes and dislikes. kwangu mimi i must have my 'me time' hii ni lazima niipate and nifanye yale ambayo nasi na moyo wangu unayafurahia na pia lazima niwe na family time ambapo nitaaa na famillia na pia niwe na private time ya mimi na yeye. biashara ya kuingia ukiwa unajua uhuru umeungia stoo haya ndo matokeo. all ts all wivu wa kibaba tu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi upo na mmeo au mkeo usiku na bado unaingia jf kutafuta nini? Hayo ni matokeo ya kutoheshimu ndoa yako. Nway, mwanamke una power, use it. Mtoe outing, mpate dinner sehemu then mwaweza ombana msamaha huko.
 

yaani ma dearest Purple asikwambie mtu wivu wa wanaume ni mbaya sana unaweza kujikuta uko gereza la nyumbani daily na hli ni baya uliko segerea manake kule utakutana na watu mtashare mawazo ila la nyumbani ni wewe na miko na masufuria tu mwenzio aliyeko ndani ni fenicha this is bull sht. i must have my 'me time' hata kama hutaki nitaiitafuta kwa kificho.
 
Last edited by a moderator:
Hivi upo na mmeo au mkeo usiku na bado unaingia jf kutafuta nini? Hayo ni matokeo ya kutoheshimu ndoa yako. Nway, mwanamke una power, use it. Mtoe outing, mpate dinner sehemu then mwaweza ombana msamaha huko.
Afu we Catherine, hujui kabisa kugonga button ya like?

Catherine

Today 08:14
#22
JF Senior Expert MemberArray


Join Date : 30th June 2012
Location : Dar
Posts : 322
Rep Power : 367
Likes Received174
Likes Given0
 
Last edited by a moderator:
Hata mke wangu hajui kama mie ni member wa JF............. STUKA!!

yaani i can mirror him.............nimetoka mbali best to understand him in black and white. cha ajabu ni kwamba anajua ni memba ila hajui huwa naingia muda gani na kama atajificha ndo nidham inapokuja, manake akipost na mm na post tena kwa uhuru sana manake hakuna kuoneana aibu wala heshima za ndoan.
 

babu i said before kuwa like yangu ni kama bikra, naitunza kwanza. Muda ukifika nitatoa. Lol.
 
Last edited by a moderator:
Hivi upo na mmeo au mkeo usiku na bado unaingia jf kutafuta nini? Hayo ni matokeo ya kutoheshimu ndoa yako. Nway, mwanamke una power, use it. Mtoe outing, mpate dinner sehemu then mwaweza ombana msamaha huko.

Mi nilikuwa sijui...kumbe mna power!
 
Hivi upo na mmeo au mkeo usiku na bado unaingia jf kutafuta nini? Hayo ni matokeo ya kutoheshimu ndoa yako. Nway, mwanamke una power, use it. Mtoe outing, mpate dinner sehemu then mwaweza ombana msamaha huko.
Catherine muda mwingine you do need your me time. hata kama ni usiku siso muda wote mtalala mmekumbatiana tu kuna muda utataka kupata space ujiachie like wise siyo muda wote utakua na usingizi sasa mwenzio kalala wewe huna usingizi what do you do ust ingia jf upoteze muda.

mimi ndo balaa manake ukinitafuta saa nane usiku nimo saa tani nimo yaani huwez kujua nalala saa ngapi na kuamka sa ngapi. ila huduma ndani iko pale pale. its just a matter of time table tu.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa yako tayari amesha asirika na CCM,inawezekana naye ni member wa JF kwa hiyo anajua kuhusu kupondwa kwa CCM kwenye Majukwaa.ila pole sana jitahidi kumuonesha penzi katika wakati huu mgumu.
 

gfsonwin nakubali kuwa sometimes wahitaji kuwa na muda wako binafsi ila unajisikiaje upo na mtu halafu yeye yupo busy na simu? Inamaana nyie siku nzima mpo wote kiasi cha kukosa muda wa kuwa mwenyewe?! Au ina maana huna cha kuongea na mumeo muda huo? Huyu mwanamke hajasema alipost comment gani. Si ajabu alikuwa anaflirt na kina Asprin na ndio maana mume kamaind. Jamani tuwape nafasi wapenzi wetu. Upendo tunaooneshana humu tuwaoneshe na wapenzi wetu nao wajione ni wa thamani.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wanawake hawawezi kujiongoza?Unajishugulishaje na mambo yasiyokuhusu?Yani nimlinde mtu na akili zake?Haiwezekani?

umesahau wanaume wengi wakishaoa wanafikiri wao ndo wanaauthority and power over their wives?yaani kusema kweli ukisikiliza stori za wake za watu na maswahibu wanayokutana nayo huko kwenye ndoa zao utawasikitia sana! Men wanataka wake zao wafanye vile wanavyotaka wao bila kujali interest za wake zao ndo maana mie hua nasema kuolewa sometimes ni mzigo khaaa!
 
Kwani lazima itikadi zifanane kwa wanandoa?Hebu kila mtu awe YEYE,tuache unyanyasaji ebo!

Haa wakati YEYE ndo amemuwowa,lazima afuate anachotaka YEYE,umesahau kasumba ya chama tawala!
 
Catherine huko ulikogusa sikutaka kwenda huko manake kama kila siku wako na aman na upendo it means mumewe anapewa muda wa kutosha. kwangu mim ni kwamba nikitaka pia kushutumu huyu mama ni padogo tu nitakapomkamatia napo ningemuliza je muda huo ambao uko kitandani na mumeo amelala hukuona pengine pa kenda ili ukachat/post hadi ufanyie kwa bed? je mume akichukulia kama lack of interest towards him utamlaumu? kunamambo siyo ya kufanya mbele ya mume kama yanaleta tashwishwi.

kupunguza midahalo nenda sehem tofauti tuma post zako log off. endelea na kazi zako ukijiskia tena rudi tena tuma. ndo wanaume walivyo aisee
 
Last edited by a moderator:

Huu ni ujinga,mke wangu sio mimi,ana mambo yake ana mitazamo tofauti,sio lazima tufanane kwenye kila jambo!
 
Hahahaha Kaizer popote pale ulipo, hebu njoo msome Catherine hapa. Inaelekea mi ni mtaalam wa flirtings...
 
Last edited by a moderator:
najua yupo huku muda mrefu tena kabla yangu! na mimi nimejiunga na ID za kutosha tu, tukiwa sitting rum natumia id mpya kabisa, akiingia nikijua yumo nahamia id nyingine na nyingine mpaka jua linazama. weekdays ni cacico kwa kwenda mbele! ila hivi vimacho vyangu itabidi nivibadili, kuna cku aliniambia these eyes looks familiar! nikamwambia mweeeeee, let mi c, kuchungulia ni vyangu. lol! atakuwa na ye anapm warembo humu ndani, job true true, lol!
 
Last edited by a moderator:

ila mtoa mada amesema maisha yao ni ya upendo na amani ukiachilia mbali matatizo madogo madogo. Inawezekana kati ya hayo matatizo madogo madogo ni huyu mdada kukosa interests kwa mumewe. Ndoa kuwa na amani na upendo si guarantee kuwa mwanaume anapewa muda wa kutosha. Pengine huo muda haupati kutoka kwa mkewe hivyo uvumilivu wake hujenga amani na mwanamke kuhisi upendo. Hata kama anapewa muda wa kutosha, unahisi ni kwanini akasirike!!
Mi sisupport wazo la kusema angetoka akachat pembeni, hata huko angeweza kubambwa. Hicho alichokuwa anawahi kupost humu angeweza fanya pindi mumewe hayupo. Kila jambo lina muda wake. Kama tunatoka jf, tunaingia kuoga, kuvaa, kufanya kazi zingine ni vipi ameshindwa kuacha jf kwa muda huo akawa na husband wake kudumisha huo upendo na amani!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…