Baada ya kugundua kuwa niko JF amani imetoweka

ina maana mume wako ni mmoja kati ya wale au basi tu ameamua kutandaza utabe ndani ya familia
 

usiaunder estimate life complexities. ingekuwa busara sana kama angetoka afanyie mbali na mumewe hiyo ingeonyesha nidham na heshim zaid.
 
Hahahaha Kaizer popote pale ulipo, hebu njoo msome Catherine hapa. Inaelekea mi ni mtaalam wa flirtings...

babu we mwenyewe imagine mume kajilalia zake ingawa usingizi hauji hata kiss hajapata, neti kajishushia mwenyewe. Mke ndio cacico full kubusiana na vibabu vya humu, i love u nyingíi, i miss u ndio usiseme!! Hivi huyo mwanaume ana roho gani asikasirike!
 
Last edited by a moderator:
hivi wanaume wa namna hii mnawatoa wapi???????????????/


Nilishanhgaa amehamaki, akaninyang'anya simu na kuanza kutukana matusi makubwa huku akinifananisha na nyoka, mara aniite. Shetani nk


Naomba msaada wenu
 

Wanawake mnazo nguvu nyingi sana tatizo ni kutokujua na kwa wale wanaojua, hamjiamini. Weakness ya mwaanaume inaanzia pale anapomtongoza mwanamke. Mpaka sasa wanawake wakiamua kuwa na umoja na kujiamini, wanaume watakuwa watumwa wa wanawake milele. Amen.
 

msiri wangu #1 cacico nakupendaje? hebu njoo umsome Catherine hapa lol! mi mbavu sina. bora mye na Kaizer wangu tunajuana tupo humu so hakuna kuflirt na mbadala.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ni mfumo dume tu..at first place naweza nikasema hivyo. Hii kama alivyosema mchangiaji mmoja inatokana na inferiority complex kwamba mke akiwa 'informed' atacharuka.
Pili inawezekana huyo mumeo ni 'JF phobiatic'..yaan yeye JF manake ni Upinzani..na JF kwake ni politics tu!..Watu kama hawa hawajishughulishi kujiuliza kwa nini Mods walianzisha majukwaa ya aina mbalimbali.
Tufike wakati tuwe 'multi plonged' in thinking!
 
Nafikiri huyo mumeo yumo humu na possibly anaharibu hivyo anajua u do the same!
 
to be sincere he even doesn't know jf. to him he is such kind of a person ambaye hobbies ziko steshened kwenye stuli ndefu na novo na yeye akishika pc basi ujue ni nyanga na wala siyo kwenye mitandao ya kijamii.
gfsonwin...kwenye red umeniacha...
 
msiri wangu #1 cacico nakupendaje? hebu njoo umsome Catherine hapa lol! mi mbavu sina. bora mye na Kaizer wangu tunajuana tupo humu so hakuna kuflirt na mbadala.

hahahaha! cacico amepita anadai ana IDs kibao na mume asipokuwepo anajiachia na id ya cacico. Mwambie gilesi achukue maujanja hayo. Lol.
Mpe hi Kaizer
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin...kwenye red umeniacha...

nyanga maana yake ni academic materials. yaani mtu ambaye ni msongo anakomaa na mavitu ya shule tu muda wote let x =y assume that the distance from the earth to the sun is constant kept what will be the next season to expect disasters. naamini kama wewe ni mtaalam wa mathematical modelling utakuwa umenielewa.
 
afu we nikikukamataaaaaaaa! aliniambia kuna memba mpya chit chat ana jina la dada yake, dada yake anaitwa Catherine, i was like whaaaaatttttt??? nikmwambia hebu m-pm, ukute ndio yeye, akaniambia lazma a-pm! kataa hajakupm???? tushee mama lakini uwe na adabu sio unakwangua zote, mie sina hiyana!
 
Last edited by a moderator:

oooh!! thanks.....unajua tena lugha za ki 1990s zimeanza kututoka
 
cacico umenifurahisha sana; vipi na wewe unajua ID yake?

Sisi tunajuana ID wote tumo humu, tumekubaliana tukiwa humu tuelendelee kuwa Kaunga na .......... Ingawa sometimes kawivu kwa mbali kananiijia baada ya some comments; he doesn't seem to be bothered na my JF love Eiyer ana confidence kuliko mimi! LOL
 
Last edited by a moderator:
Naye mfungulie account mpe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…