ye mwenyewe anatoka na hubby wangu, kila cku wanatumiana mapm! namshanga kunisimanga na tulizo la moyo wangu humu Asprin, njoo basi na we ukaguliwe! mwaaaahhhh Catherine!
kwanza he should b thankful kuwa unaflirt na Eiyer our virgin bro, hakugusi huyo, hang'ati awe na amani! hubby wangu ndio wa kuhurumia, maana naflirt na namba chafu ODM, kirua!cacico umenifurahisha sana; vipi na wewe unajua ID yake?
Sisi tunajuana ID wote tumo humu, tumekubaliana tukiwa humu tuelendelee kuwa Kaunga na .......... Ingawa sometimes kawivu kwa mbali kananiijia baada ya some comments; he doesn't seem to be bothered na my JF love Eiyer ana confidence kuliko mimi! LOL
mwambie huyo victim aje kwa babu yetu! no stress, BADILI TABIA mshtue Yummy leo tufanyeni 4some na hubby wetu, lol!hivi wanaume wa namna hii mnawatoa wapi???????????????/
afu we nikikukamataaaaaaaa! aliniambia kuna memba mpya chit chat ana jina la dada yake, dada yake anaitwa Catherine, i was like whaaaaatttttt??? nikmwambia hebu m-pm, ukute ndio yeye, akaniambia lazma a-pm! kataa hajakupm???? tushee mama lakini uwe na adabu sio unakwangua zote, mie sina hiyana!
mwambie huyo victim aje kwa babu yetu! no stress, BADILI TABIA mshtue Yummy leo tufanyeni 4some na hubby wetu, lol!
Subiri kwanza nimalizane na sweetlady afu nikuye.Nshakusoma mpenzi cacico, ngoja nimpigie Asprin ajiandae kuteguliwa leo........ BADILI TABIA usije na habari yako ya kukandwa kiuno baada ya mechi:A S 465:
dah! Pole sana ma dearest. Ila ukweli ni kwamba sijui kwanini waume zetu huwa hawapend wake zao tuwe memba huku jf ama sijui it was meant for men only sipatagi jibu.
Wenzio sisi huwa tunajifichaga akiwa mezani wewe unakwenda kwa b/rum ukiskia stepa zake tu unaficha unafungua yahoo. Wengine tunafungaga laptop ghafla. Anyway kwakua tayari tatizo limeshaingia fanya hivi tulia wala usimsemeshe chochote yaani omba msamaha mara moja amekubali sawa hajakubali sawa wewe carryon with your duties. Jthd sana usionyeshe weak ness yako yaani timiza wajibu wako vyema ili asipate kosa endelevu. Pia sali ukimsihi mungu arejeshe amani hiyo.
Mwisho kabisa hivi janmani sisi wanawake tutajikomboa nini? Hivi kwanini ndoa zinakuwa kama gereza? Wakak na wababa wa jf kwanini hampendi wake zenu kuwa memba wa jf?
babu we mwenyewe imagine mume kajilalia zake ingawa usingizi hauji hata kiss hajapata, neti kajishushia mwenyewe. Mke ndio cacico full kubusiana na vibabu vya humu, i love u nyingíi, i miss u ndio usiseme!! Hivi huyo mwanaume ana roho gani asikasirike!
afu we nikikukamataaaaaaaa! aliniambia kuna memba mpya chit chat ana jina la dada yake, dada yake anaitwa Catherine, i was like whaaaaatttttt??? nikmwambia hebu m-pm, ukute ndio yeye, akaniambia lazma a-pm! kataa hajakupm???? tushee mama lakini uwe na adabu sio unakwangua zote, mie sina hiyana!
cacico umenifurahisha sana; vipi na wewe unajua ID yake?
Sisi tunajuana ID wote tumo humu, tumekubaliana tukiwa humu tuelendelee kuwa Kaunga na .......... Ingawa sometimes kawivu kwa mbali kananiijia baada ya some comments; he doesn't seem to be bothered na my JF love Eiyer ana confidence kuliko mimi! LOL
kwanza he should b thankful kuwa unaflirt na Eiyer our virgin bro, hakugusi huyo, hang'ati awe na amani! hubby wangu ndio wa kuhurumia, maana naflirt na namba chafu ODM, kirua!
Kwahiyo mmeconclude nini sasa?
afu wewe! hebu kam huku kwanza nna maongezi na wewe mapana kama pazia la leba! usichelewe, ukakuta nimeburst.Kwahiyo mmeconclude nini sasa?