Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni CDF ambaye hata mimi namkubali sanaBaada ya MINOCYCLINE niliyebarikiwa Jicho la Kiufundi kuja na Uzi hapa hapa JamiiForums Wiki Moja imepita kuwa Raja Casablanca FC ni Maji Marefu kwa Simba SC yangu ( yetu ) nilipokea Matusi, Kashfa na Dhihaka nyingi na hatimaye kile nilichokisema leo kimetokea.
Na baada ya Kugundua na Kuwasoma Mashabiki wa Simba SC hasa walioko hapa JamiiForums wanapenda Kudanganywa na siyo Utaalam wangu wa Kimpira MINOCYCLINE nami kwa Makusudi nikaamua sasa Kuwahadaa, kuwajaza Ujinga na Kuwaaminisha Kisichowezekana na Wengi Wao wakajaa katika Mfumo wangu na Kuwaokota ile mbaya.
Simba SC ingemfunga leo Raja Casablanca FC ningeenda kwa Makusudi kabisa Kunya ( Kuukweka ) pale MP1 Lugalo Makongo.
Timu imejaa Viongozi Wahuni, Wapigaji, Waamini Uchawi, wenye Majungu na Kusalitiana ndani kwa ndani huku ikisajili Michezaji Mikapi ( Rejects ) leo ndiyo uje umfunge Raja Casablanca FC ambayo inaendeshwa Kiuweledi huku ikimtanguliza Allah ( Mungu ) na siyo kuzunguka Mitaani kama Wendawazimu kufanya Hamasa ya Mechi ambayo Moyoni unajua hutoshinda na Kuendesha ( Kinyumenyume ) Basi la Timu ( Wachezaji ) kuingia Uwanja wa Mkapa kwa Kuamini Waganga wa Unguja, Morogoro na Tanga waliopangiwa Hotel ya Kifahari maeneo ya Mbezi Beach mita chache na Makazi ya CDF Mmoja Mstaafu ambaye mpaka leo amebakia kuwa ndiyo CDF Kipenzi cha 95% ya Wanajeshi wa Tanzania.
Mkome / Tukome.
Cc: adriz
Kifupi watu kama wewe ndio tunawaita wendawazimu.Baada ya MINOCYCLINE niliyebarikiwa Jicho la Kiufundi kuja na Uzi hapa hapa JamiiForums Wiki Moja imepita kuwa Raja Casablanca FC ni Maji Marefu kwa Simba SC yangu ( yetu ) nilipokea Matusi, Kashfa na Dhihaka nyingi na hatimaye kile nilichokisema leo kimetokea.
Na baada ya Kugundua na Kuwasoma Mashabiki wa Simba SC hasa walioko hapa JamiiForums wanapenda Kudanganywa na siyo Utaalam wangu wa Kimpira MINOCYCLINE nami kwa Makusudi nikaamua sasa Kuwahadaa, kuwajaza Ujinga na Kuwaaminisha Kisichowezekana na Wengi Wao wakajaa katika Mfumo wangu na Kuwaokota ile mbaya.
Simba SC ingemfunga leo Raja Casablanca FC ningeenda kwa Makusudi kabisa Kunya ( Kuukweka ) pale MP1 Lugalo Makongo.
Timu imejaa Viongozi Wahuni, Wapigaji, Waamini Uchawi, wenye Majungu na Kusalitiana ndani kwa ndani huku ikisajili Michezaji Mikapi ( Rejects ) leo ndiyo uje umfunge Raja Casablanca FC ambayo inaendeshwa Kiuweledi huku ikimtanguliza Allah ( Mungu ) na siyo kuzunguka Mitaani kama Wendawazimu kufanya Hamasa ya Mechi ambayo Moyoni unajua hutoshinda na Kuendesha ( Kinyumenyume ) Basi la Timu ( Wachezaji ) kuingia Uwanja wa Mkapa kwa Kuamini Waganga wa Unguja, Morogoro na Tanga waliopangiwa Hotel ya Kifahari maeneo ya Mbezi Beach mita chache na Makazi ya CDF Mmoja Mstaafu ambaye mpaka leo amebakia kuwa ndiyo CDF Kipenzi cha 95% ya Wanajeshi wa Tanzania.
Mkome / Tukome.
Cc: adriz
Kama alivyo Mama yako.Upo kama wale wadada wa kimboka