- Thread starter
- #21
Uliza ujibiweUtapeli huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliza ujibiweUtapeli huu
Nenda fb.com oune ina ku-redirect wapi. Kampuni nyingi wana public web address na private one. Hata kampuni nayofanya kazi tuna public na private. Inasaidia sana kujua kama email inatoka ndani au nje ya kampuni. Maana unaweza kuwa na customers unataka kuwapa email - kwa hiyo utawapa user@facebook.com. Wale wafanyakazi unawapa user@fb.com. Ni standard ya kampuni za techHii email yenye extension ya fb.com inakuwaje hapo?
Kwann usianze kazi kwanza? Mapema hivi ushaanza kuanika email adress za mabosi wako wapya?
Anafanya kazi FB. Nimeshaongea nao leoHongera mkuu, Sema uyo jamaa kenye avatar amakaa kitapeli tapeli.