Baada ya kuhitimu masomo ilikuchukua muda gani hadi kupata ajira yako ya kwanza?

Baada ya kuhitimu masomo ilikuchukua muda gani hadi kupata ajira yako ya kwanza?

Oscar Lyrics

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
3,011
Reaction score
5,188
Achana na swala kutafuta ajira, unaweza kutembea na bahasha hadi ukahisi una mkosi au umelogwa ili usifanikiwe,

Kuna wengine wana bahati, Baada ya kuhitimu wanapata ajira on spot, but wale wenzangu na mimi tuliosota miaka kadhaa kutafuta ajira nawapa pole sana.

Ukipita kwenye makampuni unakuta wameandika NO VACANCY , Yani ilimradi tu uteseke.

images (12).jpg
 
Baada ya kumaliza masomo nilipata kazi ee
Sasa naishi na watu vizuri eee
Mwaka 1940 hio kupata kazi ujue kukimbia riadha tu na kucheza netball, sasa hivi hakuna hio, miaka hio unaacha kazi leo unapata kazi leo tena unagombaniwa na waajiri, sasa hivi acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi
 
Hatari
 
Back
Top Bottom