Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
One day yes, never give upBado bila bila 😒
🙏🙏One day yes, never give up
Mungu akufanyie wepesi nduguNa sisi wengine tupo tupo bado tulimalizaga last year ni kuapply tu
tulia mamaBado bila bila 😒
DDC mlimani Park 😀Baada ya kumaliza masomo nilipata kazi ee
Sasa naishi na watu vizuri eee
Mwaka 1940 hio kupata kazi ujue kukimbia riadha tu na kucheza netball, sasa hivi hakuna hio, miaka hio unaacha kazi leo unapata kazi leo tena unagombaniwa na waajiri, sasa hivi acha kazi uone ilivyo kazi kupata kaziBaada ya kumaliza masomo nilipata kazi ee
Sasa naishi na watu vizuri eee
HatariMwaka 1940 hio kupata kazi ujue kukimbia riadha tu na kucheza netball, sasa hivi hakuna hio, miaka hio unaacha kazi leo unapata kazi leo tena unagombaniwa na waajiri, sasa hivi acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi