Baada ya kuimiliki rasmi nimejiuliza, ni nini kirefu cha IST

Baada ya kuimiliki rasmi nimejiuliza, ni nini kirefu cha IST

FAQ

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2024
Posts
415
Reaction score
1,311
Hiki kigari kidogo cha joto kisichokuwa hata na airbag wala accident proof measures za msingi kama automatic turn signal na object detectors CHA AJABU huku nyuma kameandikwa IST na natamani sio kidogo wana jf wanipe kirefu chake kabla sijaenda kudanganywa na google ...
 
Ni gari ambayo ukiingia show room unaweza kulia sasa hivi zinarange 17 to 21 Million 😭😭 tofauti yake na vitz ya 12M ni nini ?😭
Niliagiza cha kwangu 2019 direct from auction IST ya 2007 kitu mpaka leo ni mpya na engine utasema ni brand new na ilinicost 12.5M leo hii nikiangalia bei ipo 18M nasema hii kweli ni investment

Ingekuwa mimi ni muuzaji wa magari wale majamaa nilionunua kwao wangenitajirisha sana. Kwasababu nilikuwa naingia mtandaoni mwenyewe kwenye mnada wa magari halafu naongea na dealer wao anafanya bid

Yaani ingekuwa naagiza vitu vikali sana
 
Hiki kigari hata ukienda kwenye harusi inabidi ukipaki mbali kidogo na eneo la tukio,ili uwapishe wale wenye mindinga wapate sehemu nzuri za kupaki,maana hukawii katikati ya harusi ukasikia mwenye IST no... unaitwa nje, halafu ukute una bonge la kitambi watu watabaki kukushangaa...
 
Ni gari ambayo ukiingia show room unaweza kulia sasa hivi zinarange 17 to 21 Million 😭😭 tofauti yake na vitz ya 12M ni nini ?😭
Million 17 kwasababu demand ni kubwa
 
Back
Top Bottom