Baada ya kuimiliki rasmi nimejiuliza, ni nini kirefu cha IST

Wenye hivi vigari Huwa wananikera sana barabarani.yaani hawako tofauti tu na bodaboda.wakiona kiupenyo kidogo tu wanaovertake na kujichomeka.serikali inatakiwa kuvipiga marufuku hivi vigari maana vinatukera sana Huku barabarani
 
Vibadilishwe tu matumizi yake na vifanywe kua majiko ya kukaangia chipsi.
 
Hivi kwa nini saa yake haisemi ukweli hata nikiirekebisha tena na tena? Yaani nikishuka nikalock mlango. Nkirudi kinaonesha ni 12:00 hata kama ni saa tisa mchana
 
Kubaabeki daycare tu milion 47?? Yan mtoto kucheza cheza na kupewa cerelac M47?? Mmmh levels to this shit kwakweli 🙌
 
Mtandao gani?
 
IST ina airbag bana, nitakupa picha ya IST iliyopata ajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…