Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,152
Mkuu Da pretty pamoja na hayo..ila usihalalishe dhambi, mfano mtu muuaji huwezi kumwambia eti we endelea kuua tu maana mbona wapo wengi wanawauwa watu !! Kosa ni kosa hata km na ww ni mhanga wa hiyo dhambi kubali tu kuwa kufanya hivyo ni kosa... ww mtu kafanya kosa mara ya kwanza kazaa nje ya ndoa unaweza kuita ni bahati mbaya lakini sasa hii ni mara ya pili ..hiyo ni dhambi ya makusudi ..lazima tuseme ukweli hata km sisi pia ni wakosaji..
Ndio ujue sio kila anaezaa kabla ya ndoa ni bahati mbaya. Nenda mahospitalini, watu kibao wanaenda kutafuta matibabu wapate watoto japo hawana hata ndoa.
Halafu....
Dhambi ni kuzini au kuzaa??
Wangapi wanazini? Wote ni bahati mbaya?
Hakuna anayehalalisha dhambi ila tusijifanye mahakimu.
Huna mume, huna mtoto... unadhani ukifika 45 maisha yanakuaje?
Waacheni wafanye yao ni wewe pia una dhambi zako nani kakushikia bango humu??
FYI: This is not personal and not concerned with my personal affairs.