Baada ya kujifungua nje ya ndoa, mashabiki wamvaa Zamaradi

Mwacheni ajipange maana kuingia kwenye ndoa ya ringi sio mchezo , mabwana wa siku hizi ni lazima uwenacho kama hauna hawachelewi kukupiga kibuti.
 
hatimae ile makitu imerudi to it axis hi hi hiiii ...praiiiise the mods...
 
Mashabiki wametisha ila kuna ka ukweli kidogo, sio zamaradi tu wanawake wengi siku izi wanajisahau wanaona kuzaa nje ya ndoa fashion, hii inachangia sana kuwepo kwa street children na ndio chanzo cha mateso kwa watoto wasiokuwa na hatia... bora zamaradi baba watoto wake kidogo nafuu hao akina mama mwantumu uko tandale hali ndo mbaya wanazaa kama kuku uwezo hamna bas shida tupu

Kama hawapati wa kuwaoa wafanyeje?
 
Warumi kama wewe ni mwanaume. Basi ni mnafki Mkubwa. Kwa VP nakuita mnafki ila unisamehe bure. Mwanaume siku izi hayapendi kuoa. Umri Wa kula unafika hawaoi halafu wanawachezea wadada wakimaliza wanaacha. Au wanaahaidi kuwaoa unakuta umri mtu unakwenda haolewi tuuu. Sasa afanyeje. Ni kheri ajizalie akimaliza atulie. Wanaume wenyewe sikuizi mazomby tuuu. So sio hana adabu ulimwengu umebadilika afanyeje. Kuolewa ni sheria kuzaa ni maajaliwa. Ila saiv ishageuka kuzaa ndo sheria kuolewa maajaaliwa we have to live with dat
 
Umeongea vizur, ila kuzaa nje ya ndoa ni dhambi. Kuna sehemu ipi kwenye biblia imesema mwanamke asipoolewa basi azae nje ya ndoa? Faraja ya kweli ipo kwa Mungu, unaweza kuzaa wakafa, au ukazaa matahira au viumbe vya ajabu, tatizo dada zetu mmekaa mbali na Mungu, we unadhani ni kweli hakuna wanaume wa kuwaoa? Tatizo mmesahau kabisa kuwa mungu yupo, wengine hadi kwa waganga mnaenda ili mpate watoto au ndoa, apo kuna faraja gani? Msipotoshe watu, kuzaa nje ya ndoa ni laana, ndio maana watoto wa nje wanaitwa WATOTO HARAMU

Asante
Nimekupenda bure umeongea ukweli
 
Wala sijasema eti wengine hatufanyi dhambi, tunafanya tena chafu zaidi ya hyo, ila usihalalishe dhambi binamu, tusitafute faraja bandia, kuzaa nje ya ndoa ni fedheha na aibu kubwa sana especially kwa familia ya mwanamke, we unadhani zamaradi akiachwa na huyo ruge kuna mwanaume atakayetaka kumuoa? Acheni kuzaa nje mnawapa shida watoto wa watu ambao hawana hatia kwa starehe zenu za kumanua manua ovyo kama kuku 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

Naked truth!!

Watu wanajipa moyo na kufarijiana kwa kuhalalisha dhambi!!!

Nawaambiani ukweli hao watt wanalio/wanaozaliwa nje ya ndoa ni vile tu washazaliwa bt huwa wanajiskia vby sna mnawatesa Sana kisaikolojia hamujui tu.
#stay away from sin#
Mume/mke wapo,shida ni kiherehere na kuona unachelewa kisa shost kaolewa!!
Kila mtu ana muda wake!!
 
Warumi kama wewe ni mwanaume. Basi ni mnafki Mkubwa. Kwa VP nakuita mnafki ila unisamehe bure. Mwanaume siku izi hayapendi kuoa. Umri Wa kula unafika hawaoi halafu wanawachezea wadada wakimaliza wanaacha. Au wanaahaidi kuwaoa unakuta umri mtu unakwenda haolewi tuuu. Sasa afanyeje. Ni kheri ajizalie akimaliza atulie. Wanaume wenyewe sikuizi mazomby tuuu. So sio hana adabu ulimwengu umebadilika afanyeje. Kuolewa ni sheria kuzaa ni maajaliwa. Ila saiv ishageuka kuzaa ndo sheria kuolewa maajaaliwa we have to live with dat

Nimependa ujasiri wako, hongera
 
Naked truth!!

Watu wanajipa moyo na kufarijiana kwa kuhalalisha dhambi!!!

Nawaambiani ukweli hao watt wanalio/wanaozaliwa nje ya ndoa ni vile tu washazaliwa bt huwa wanajiskia vby sna mnawatesa Sana kisaikolojia hamujui tu.
#stay away from sin#
Mume/mke wapo,shida ni kiherehere na kuona unachelewa kisa shost kaolewa!!
Kila mtu ana muda wake!!

Baambia hao
 
Back
Top Bottom