Baada ya kujifungua nje ya ndoa, mashabiki wamvaa Zamaradi

Mwacheni ajipange maana kuingia kwenye ndoa ya ringi sio mchezo , mabwana wa siku hizi ni lazima uwenacho kama hauna hawachelewi kukupiga kibuti.
 
hatimae ile makitu imerudi to it axis hi hi hiiii ...praiiiise the mods...
 

Kama hawapati wa kuwaoa wafanyeje?
 

Warumi kama wewe ni mwanaume. Basi ni mnafki Mkubwa. Kwa VP nakuita mnafki ila unisamehe bure. Mwanaume siku izi hayapendi kuoa. Umri Wa kula unafika hawaoi halafu wanawachezea wadada wakimaliza wanaacha. Au wanaahaidi kuwaoa unakuta umri mtu unakwenda haolewi tuuu. Sasa afanyeje. Ni kheri ajizalie akimaliza atulie. Wanaume wenyewe sikuizi mazomby tuuu. So sio hana adabu ulimwengu umebadilika afanyeje. Kuolewa ni sheria kuzaa ni maajaliwa. Ila saiv ishageuka kuzaa ndo sheria kuolewa maajaaliwa we have to live with dat
 

Asante
Nimekupenda bure umeongea ukweli
 

Naked truth!!

Watu wanajipa moyo na kufarijiana kwa kuhalalisha dhambi!!!

Nawaambiani ukweli hao watt wanalio/wanaozaliwa nje ya ndoa ni vile tu washazaliwa bt huwa wanajiskia vby sna mnawatesa Sana kisaikolojia hamujui tu.
#stay away from sin#
Mume/mke wapo,shida ni kiherehere na kuona unachelewa kisa shost kaolewa!!
Kila mtu ana muda wake!!
 

Nimependa ujasiri wako, hongera
 

Baambia hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…