Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali langu ni kwamba baada ya mama kujifungua hutokwa na damu ya uzazi kwa muda wa siku ngapi? Na je anapomaliza damu ya uzazi anaanza mzunguko wake wa hedhi ama hukaa muda gan kabla mzunguko wa hedhi haujaanza
wiki mbili mpaka mwezi kulinga na mambo ya "nature & nurture" kwa sana .
Thaanx mwaya now mmenipa mwanga maana I was so afraid baada ya kuona damu inaendelea tu mwezi mzima
Thanx indeed for ur appreciation.