Tetesi: "Baada ya kukaa chini na kutafakari sasa nami nmeamua kurudi Nilikotoka"

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Mtanisamehe lugha yangu kma itawazingua basi msi mind washkaji mnizomee tu....sorry i mean mnizoee tu.

Mkataa kwao ni mtumwa walisema madingi wa hapo kale. Nmekaa sana nikaskuti na kugundua huko mbeleni life litazidi kuwa tafu sana masela wangu.its either you are with them or you fight against them. Mdingi kaamua kukomaa tu hivyo hivyo na kuwabana mbavu woote wnaojifanya hawamwelewi.

Haya maisha nawaza 2020? Ntafika kweli?yaani hofu hofu mtaani mashaka tele si ndani si nje ya uwanja rough zinachezwa tu. Refarii naye kauzu.kameza filimbi anapeta tu kuwa game liendelee.

Mi mbunge nikicheki mbere na mbele kote sioni fyutcha kabisa...naona giza tu.nmeskuti na kuona life yangu inategemeana sana na kupiga tantarira...nyie mnaita siasa.

Mama anasema toka nlipozaliwa tu nlionesha mi ni mwanasiasa.anasema alinisikia nikitamka maneno flan na siku zote amekuwa akiniona nikiongea midomo inasema kingine na mwili kingine.so mimi nina kipaji cha siasa.hasa za hapa nchini.

Aligundua zaidi kipaji changu nlipokuwa nakua.nlikuwa mwongo sana.ni mtu ambaye nlikuwa naweza tema mate kulia nikafukia kushoto....na nikakwambia angalia sasa mate yapo wapi?na usiyaone.

Mama anakumbuka siku nimemkana mbele ya mzee mmoja tajiri na kusema mimi ni yatima yule mzee akanipatia mkwanja nikachikichia tuliporudi home nikampa na mama kidogo akanisamehe.ila nilimtosa kabisa siku ile ya tukio.

Mara nyingi tu nmewah sema wazee wangu walikufa kwa ngoma nami ninao ili nionewe huruma nisaidiwe.mimi nina kipaji cha siasa.siku moja nlimbebea aliyekuwa mbunge begi lake toka mkutanoni mpaka kwake nikimwita baba...akanipenda sana...nlimkana hata baba yangu.

Sasa baba wa nini naye hana pesa?so mimi ni mwanasiasa...mniamini nachosema.nmeskuti sana...naona kama kipaji changu kinaisha na mwaka 2020 nmeambiwa sirudi piga ua.nikapata jibu nirudi home...nyumban ni nyumban tu hata kukiwa kuzuri au kubaya.

Nyie hamtaki watoto wangu waende choo?pia chama hiki hakieleweki.juzi nmempigia simu mwenyekiti usiku wa saa nane hakupokea.ilinikwaza sana.imeonesha mwenyekiti ana mazarau sana na hatujali watu wengine.so nimezira naona niondoke tu chaman.

Chama Chenu nliomba mimi niwe mweka hazina mkaninyima sasa naondoka na nina uhakika ntarudi tena kupitia chama hiki.bakini na lichama lenu halina hata kupeana deal na halina uhakika wa kupata ubunge mwaka 2020 huku uhakika upo mkubwa sana yaani hii ubunge nina uhakika nao mpaka mwaka 2020 miaka saba mchezo?

Potelea pote na mpunga usiote. Najua mtanisema sana nami nitawaponda hasa...ili huku sasa waniamini zaidi kuliko hata wale nliowakuta.inabidi nioneshe loyalty....mimi ntakuwa mbaya kuliko hata wazawa.na nitakula mema ya nchi.
 
Umesahau kuweka namba ya mawasiliano hapo chini mkuu.
 
Hama tu mheshimiwa kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi za mwenyekiti
 
Wapo wanaosali na wapo pia wanaosaliwa, tofauti yake na yako ni muda tu.
 
Hama tu mheshiimiwa kwa kizingizio cha kuunga jitihada za mwenyekiti.
 
mesoma kuanzia mwisho nkaja mwanzo ndo nkaelewaa..
 
eti nime 'skuti' dah bangi mbaya aisee.Anyway asante kwa kutuletea utenzi wa Shaban Robert
 
Binafsi wala sitakulaumu Mkuu, kwa jinsi huu mchezo unavyoendelea,kamtumikie tu kafiri ili choo kipate matumizi.
 
Mtanisamehe lugha yangu kma itawazingua basi msi mind washkaji mnizomee tu....sorry i mean mnizoee tu.

Mkataa kwao ni mtumwa walisema madingi wa hapo kale. Nmekaa sana nikaskuti na kugundua huko mbeleni life litazidi kuwa tafu sana masela wangu.its either you are with them or you fight against them. Mdingi kaamua kukomaa tu hivyo hivyo na kuwabana mbavu woote wnaojifanya hawamwelewi.

Haya maisha nawaza 2020? Ntafika kweli?yaani hofu hofu mtaani mashaka tele si ndani si nje ya uwanja rough zinachezwa tu. Refarii naye kauzu.kameza filimbi anapeta tu kuwa game liendelee.

Mi mbunge nikicheki mbere na mbele kote sioni fyutcha kabisa...naona giza tu.nmeskuti na kuona life yangu inategemeana sana na kupiga tantarira...nyie mnaita siasa.

Mama anasema toka nlipozaliwa tu nlionesha mi ni mwanasiasa.anasema alinisikia nikitamka maneno flan na siku zote amekuwa akiniona nikiongea midomo inasema kingine na mwili kingine.so mimi nina kipaji cha siasa.hasa za hapa nchini.

Aligundua zaidi kipaji changu nlipokuwa nakua.nlikuwa mwongo sana.ni mtu ambaye nlikuwa naweza tema mate kulia nikafukia kushoto....na nikakwambia angalia sasa mate yapo wapi?na usiyaone.

Mama anakumbuka siku nimemkana mbele ya mzee mmoja tajiri na kusema mimi ni yatima yule mzee akanipatia mkwanja nikachikichia tuliporudi home nikampa na mama kidogo akanisamehe.ila nilimtosa kabisa siku ile ya tukio.

Mara nyingi tu nmewah sema wazee wangu walikufa kwa ngoma nami ninao ili nionewe huruma nisaidiwe.mimi nina kipaji cha siasa.siku moja nlimbebea aliyekuwa mbunge begi lake toka mkutanoni mpaka kwake nikimwita baba...akanipenda sana...nlimkana hata baba yangu.

Sasa baba wa nini naye hana pesa?so mimi ni mwanasiasa...mniamini nachosema.nmeskuti sana...naona kama kipaji changu kinaisha na mwaka 2020 nmeambiwa sirudi piga ua.nikapata jibu nirudi home...nyumban ni nyumban tu hata kukiwa kuzuri au kubaya.

Nyie hamtaki watoto wangu waende choo?pia chama hiki hakieleweki.juzi nmempigia simu mwenyekiti usiku wa saa nane hakupokea.ilinikwaza sana.imeonesha mwenyekiti ana mazarau sana na hatujali watu wengine.so nimezira naona niondoke tu chaman.

Chama Chenu nliomba mimi niwe mweka hazina mkaninyima sasa naondoka na nina uhakika ntarudi tena kupitia chama hiki.bakini na lichama lenu halina hata kupeana deal na halina uhakika wa kupata ubunge mwaka 2020 huku uhakika upo mkubwa sana yaani hii ubunge nina uhakika nao mpaka mwaka 2020 miaka saba mchezo?

Potelea pote na mpunga usiote. Najua mtanisema sana nami nitawaponda hasa...ili huku sasa waniamini zaidi kuliko hata wale nliowakuta.inabidi nioneshe loyalty....mimi ntakuwa mbaya kuliko hata wazawa.na nitakula mema ya nchi.
Nshastuka gudume una c&p
 
Washkaji tukikaa tunaambiana faida za huku kwingine tunashauriana na kuamua kurudi home. Mtatiro karibu home kijana mwenzangu...now mambo yako yatakuwa safi najua ulipigika hapo katikati kiuchumi.sasa maisha yatakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom