Tetesi: "Baada ya kukaa chini na kutafakari sasa nami nmeamua kurudi Nilikotoka"

Tetesi: "Baada ya kukaa chini na kutafakari sasa nami nmeamua kurudi Nilikotoka"

Na ndio kinachofanyika kwa sasa,
"Hii kamba ngumu,tunavutana na wenye nguvu vitambi na mashavu" by father Nellly R.I.P
 
Hii njaa imekamata penyewe lazima watu walainike. Ngoma ni huko wanakoenda hao wanaowakuta kwenye mstari wanajisikiaje. Hiyo 2020 mbona patanoga.
 
Back
Top Bottom