Baada ya kukaa jela siku mbili Koffi Olomide aachiwa

Baada ya kukaa jela siku mbili Koffi Olomide aachiwa

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714
Congolese musician Koffi Olomide has been set free. The controversial singer was released Thursday after serving a day in jail instead of the 18-month sentence he had been handed.

Koffi was arrested on Tuesday at his palatial home in Mon Fleur Estate in Kinshasa, after assaulting his dancer at the Jomo Kenyatta International Airport last Friday.

His Kenyan promoter Jules Nsana confirmed Olomide's release.

"An elated Olomide called me from his home informing me of his release. He was with his band members, friends and family members. I am happy for him. After all, what matters is he has learnt his lesson," Nsana said.

Source: Standard
 
Hiyo ndio mizigo ya kuwa maarufu... Naamini alifanya kwa kughafika japo ni kosa but aliomba msamaha na aliyepigwa naamini aliupokea hiyo ilitosha kumweka huru ila alionwa kama muuaja wa halaiko kwenye koti la haki ya Mwanamke... Wakati mwingine msamaha ni tiba bora kuliko adhabu hasa kama pande mbili zinaelewana.... "Siyo kwa makosa ya Jinai"
 
Nadhan kiuhalisia pamoja na kuwa alikosea na sikubalian na kumpiga mtu acha mwanamke tena hadharani ila jambo hili lilikuzwa sana.

Miongoni mwetu tunaoshabikia jambo hili tumewapiga wanawake kwa namna nyingi sana tena kwa kuwaachia maumivu makubwa ambayo yameathiri sana maisha yao.wangap tumekataa mimba zao? Wangapi tumewasaliti au kuwa dhalilisha ?

Miezi 18 kwa kosa hilo wakat wapi wabakaj, wapo wezi,mafisadi n.k wanadunda mtaani? Wakat mwingne tuwe serious.

Mi namshauri amwondoe mkewe kwenye mambo ya band. Mkewe akae pemben. Na pia ajaribu kuzuia hasira zake. Pia aandae onesho Kenya la siku moja akafanye Bure kuwaomba radhi wananchi.

Baada ya hapo abadilishe namna yake ya kuishi. Asamehewe. Na watu wamesahau kuwa alifanya hivyo pia akimtetea mwanamke ambaye ni mkewe. Inaumiza unapoona mtu anamdharau mkeo. Ninyi hamjui.na wanawake walipaswa hili pia kuliangalia. Mtu anapomsemea mbovu mkeo unamia ikiwa unampenda mkeo.
 
Back
Top Bottom