Baada ya kukaa jela siku mbili Koffi Olomide aachiwa

Nadhan kiuhalisia pamoja na kuwa alikosea na sikubalian na kumpiga mtu acha mwanamke tena hadharani ila jambo hili lilikuzwa sana.

Miongoni mwetu tunaoshabikia jambo hili tumewapiga wanawake kwa namna nyingi sana tena kwa kuwaachia maumivu makubwa ambayo yameathiri sana maisha yao.wangap tumekataa mimba zao? Wangapi tumewasaliti au kuwa dhalilisha ?

Miezi 18 kwa kosa hilo wakat wapi wabakaj, wapo wezi,mafisadi n.k wanadunda mtaani? Wakat mwingne tuwe serious.

Mi namshauri amwondoe mkewe kwenye mambo ya band. Mkewe akae pemben. Na pia ajaribu kuzuia hasira zake. Pia aandae onesho Kenya la siku moja akafanye Bure kuwaomba radhi wananchi.

Baada ya hapo abadilishe namna yake ya kuishi. Asamehewe. Na watu wamesahau kuwa alifanya hivyo pia akimtetea mwanamke ambaye ni mkewe. Inaumiza unapoona mtu anamdharau mkeo. Ninyi hamjui.na wanawake walipaswa hili pia kuliangalia. Mtu anapomsemea mbovu mkeo unamia ikiwa unampenda mkeo.
Tukio hili naona ni kama la kumuongezea utajili Koffi, atatoka na bonge la song na kuifunika selfie, wait n see.
 
...'' he has learnt his lesson''...for just spending a day in prison while the sentence was 18 months? This implies that the judges were wrong in sentencing him 18 months...???
 
Mzee wa miaka sitini amerusha kick kama Bruce Lee. Jamaa yupo fiti, uswahilini miaka 45 tu tume choka.
 
Nadhan kiuhalisia pamoja na kuwa alikosea na sikubalian na kumpiga mtu acha mwanamke tena hadharani ila jambo hili lilikuzwa sana.

Miongoni mwetu tunaoshabikia jambo hili tumewapiga wanawake kwa namna nyingi sana tena kwa kuwaachia maumivu makubwa ambayo yameathiri sana maisha yao.wangap tumekataa mimba zao? Wangapi tumewasaliti au kuwa dhalilisha ?

Miezi 18 kwa kosa hilo wakat wapi wabakaj, wapo wezi,mafisadi n.k wanadunda mtaani? Wakat mwingne tuwe serious.

Mi namshauri amwondoe mkewe kwenye mambo ya band. Mkewe akae pemben. Na pia ajaribu kuzuia hasira zake. Pia aandae onesho Kenya la siku moja akafanye Bure kuwaomba radhi wananchi.

Baada ya hapo abadilishe namna yake ya kuishi. Asamehewe. Na watu wamesahau kuwa alifanya hivyo pia akimtetea mwanamke ambaye ni mkewe. Inaumiza unapoona mtu anamdharau mkeo. Ninyi hamjui.na wanawake walipaswa hili pia kuliangalia. Mtu anapomsemea mbovu mkeo unamia ikiwa unampenda mkeo.

well said
 
Ulichosema ni kweli hili jambo lilikuzwa mno pengine ni kutokana na umaarufu wake. Lkn swala la kumtoa cindy kwenye band sio rahisi maana kipaji alichonacho ndicho kilichomfanya koffi kumchukua,ila kwenye swala la cindy kuwa manage wanawake wenzake, itazidi kumletea shida.
 
Back
Top Bottom