Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Tukio hili naona ni kama la kumuongezea utajili Koffi, atatoka na bonge la song na kuifunika selfie, wait n see.Nadhan kiuhalisia pamoja na kuwa alikosea na sikubalian na kumpiga mtu acha mwanamke tena hadharani ila jambo hili lilikuzwa sana.
Miongoni mwetu tunaoshabikia jambo hili tumewapiga wanawake kwa namna nyingi sana tena kwa kuwaachia maumivu makubwa ambayo yameathiri sana maisha yao.wangap tumekataa mimba zao? Wangapi tumewasaliti au kuwa dhalilisha ?
Miezi 18 kwa kosa hilo wakat wapi wabakaj, wapo wezi,mafisadi n.k wanadunda mtaani? Wakat mwingne tuwe serious.
Mi namshauri amwondoe mkewe kwenye mambo ya band. Mkewe akae pemben. Na pia ajaribu kuzuia hasira zake. Pia aandae onesho Kenya la siku moja akafanye Bure kuwaomba radhi wananchi.
Baada ya hapo abadilishe namna yake ya kuishi. Asamehewe. Na watu wamesahau kuwa alifanya hivyo pia akimtetea mwanamke ambaye ni mkewe. Inaumiza unapoona mtu anamdharau mkeo. Ninyi hamjui.na wanawake walipaswa hili pia kuliangalia. Mtu anapomsemea mbovu mkeo unamia ikiwa unampenda mkeo.
Mzee Wa SelfieKoffi Olomide ndio nani?
Nadhan kiuhalisia pamoja na kuwa alikosea na sikubalian na kumpiga mtu acha mwanamke tena hadharani ila jambo hili lilikuzwa sana.
Miongoni mwetu tunaoshabikia jambo hili tumewapiga wanawake kwa namna nyingi sana tena kwa kuwaachia maumivu makubwa ambayo yameathiri sana maisha yao.wangap tumekataa mimba zao? Wangapi tumewasaliti au kuwa dhalilisha ?
Miezi 18 kwa kosa hilo wakat wapi wabakaj, wapo wezi,mafisadi n.k wanadunda mtaani? Wakat mwingne tuwe serious.
Mi namshauri amwondoe mkewe kwenye mambo ya band. Mkewe akae pemben. Na pia ajaribu kuzuia hasira zake. Pia aandae onesho Kenya la siku moja akafanye Bure kuwaomba radhi wananchi.
Baada ya hapo abadilishe namna yake ya kuishi. Asamehewe. Na watu wamesahau kuwa alifanya hivyo pia akimtetea mwanamke ambaye ni mkewe. Inaumiza unapoona mtu anamdharau mkeo. Ninyi hamjui.na wanawake walipaswa hili pia kuliangalia. Mtu anapomsemea mbovu mkeo unamia ikiwa unampenda mkeo.
....teh hee hee heeKoffi Olomide ndio nani?
What a fair decision!shukran kwa masahihisho. But sita fanya marekebisho maana comment yako itakuwa haieleweki na watakaosoma baadae. Shukran.
....teh hee hee hee
.......comment un païen STUPIDE peut connaître Le Treizième Apôtre..
..#Ekotiteeeeeee!!!
mkurugenzi mpya aliyeteuliwa na rais!!!Koffi Olomide ndio nani?
we ulitaka afungwe miaka mingapi?Nilitaka kushangaa Kongo hii hii ambayo haina sheria, rushwa hovyo hovyo eti leo koffi afungwe? Ilikua ni miujiza
Umekubali?
baadhi ya mistari
Ulichosema ni kweli hili jambo lilikuzwa mno pengine ni kutokana na umaarufu wake. Lkn swala la kumtoa cindy kwenye band sio rahisi maana kipaji alichonacho ndicho kilichomfanya koffi kumchukua,ila kwenye swala la cindy kuwa manage wanawake wenzake, itazidi kumletea shida.Nadhan kiuhalisia pamoja na kuwa alikosea na sikubalian na kumpiga mtu acha mwanamke tena hadharani ila jambo hili lilikuzwa sana.