KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Toka jumatatu mmekuwa nikipitia mitandao ya kijamii ikiwemo INSTA,TWEETER na uwanja wetu pendwa wa JAMIIFORUMS nimepata maswali mengi ambayo ningependa watani zangu mnijibu (Au ukiona aibu kujibu hadharani mjibu Mwanayanga aliyepo karibu yako).
1.Kwanini mnatumia nguvu kubwa sana kuaminisha UMMA kwamba mtamfunga YANGA (Bingwa mtetezi na mtarajiwa NBC PREMIER LEAGUE?)
2.Kwanini mnaendelea kuamini sana katika uchawi na wakati mshaona mechi zilizopita dhidi ya Mtani wenu (YANGA)pamoja na Kule South haukuwasaidia chochote?
3.Kwanini mnaendelea kumuamini POPOMA wenu humu Jf GENTAMYCINE anayewadanganya mchezo ashamaliza?Mnakumbuka kila DERBY huyu huwa anasema ashamaliza mchezo lakini baada ya dk 90 anaanzisha NYUZI za lawama kwa uongozi na mchezaji mmoja mmoja wa timu yenu?Utabiri gani wa kichawi ashaleta humu wa DERBY na ukawa wa kweli?Leteni huo UZI nisome pengine nitaona waliompa TUZO walikuwa sahihi au laa. Nampongeza kaka Mshana Jr baada ya kuona tabiri zake za kiringeni hazifui dafu saiv anaamini mpira ni SCIENCE na huyo zake kimya hataki kabsa kuharibu REPUTATION yake aliyoijenga kwa miaka mingi humu🤣🤣🤣🤣
Mwisho naomba mkae mkubaliane hyo jumapili baada ya mechi mtatoa sababu gani kati ya hizi hapa chini
1.Yanga wanakamia mechi
2.Sisi ni wakubwa tunawaza mabigwa wenzetu 😊
3.Yanga wachawi sana
4.Kocha hafai
5.Onyango kazeeka aendele MAJIMAJI FC.
6.Manula katusaliti lile shuti angedaka tu.
Yanga fans endeleeni kukaa kimya hivo hivo maana hofu imetanda magroup yao yote.