Baada ya kukaa kimya muda mrefu naomba wanasimba mnijibu haya maswali kuelekea derby ya Kariakoo

Baada ya kukaa kimya muda mrefu naomba wanasimba mnijibu haya maswali kuelekea derby ya Kariakoo

Yanga fans endeleeni kukaa kimya hivo hivo maana hofu imetanda magroup yao yote.
Manara amerusha dongo huko, kwamba ameongezeka yeye kwa wenye akili Yanga

1681817041472.png
 
Mdomo unapozidi uwezo matokeo yake ni aibu na kuzima data bila shuruti.
 
Back
Top Bottom