GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baada ya hivi majuzi kukamatwa akihusishwa kutoa ' rushwa ' huko Mkoani Mwanza Mtangazaji, Mkuu wa Vipindi Clouds Media Group ( CMG ) na Mchambuzi wa Masuala ya Michezo nchini Bwana Shaffih Dauda ametangaza rasmi kujitoa kugombea nafasi ya Ujumbe TFF katika uchaguzi Mkuu ujao.
Shaffih Dauda ametangaza uamuzi huo hivi punde tu akiwa anahojiwa na Kipindi maarufa cha 360 cha Cloudstv huku akisema kuwa ameona ajitoe ili kulinda heshima yake katika Jamii na kwamba ana mambo mengi ya kufanya zaidi ya kujihusisha na Uongozi wa TFF halafu akaishia tu kuchukiwa au hata kuwekewa Sumu na wale wanaomchukia.
Nawasilisha.