Baada ya Kukamatwa na TAKUKURU Shaffih Dauda ajitoa kugombea Ujumbe TFF

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Baada ya hivi majuzi kukamatwa akihusishwa kutoa ' rushwa ' huko Mkoani Mwanza Mtangazaji, Mkuu wa Vipindi Clouds Media Group ( CMG ) na Mchambuzi wa Masuala ya Michezo nchini Bwana Shaffih Dauda ametangaza rasmi kujitoa kugombea nafasi ya Ujumbe TFF katika uchaguzi Mkuu ujao.

Shaffih Dauda ametangaza uamuzi huo hivi punde tu akiwa anahojiwa na Kipindi maarufa cha 360 cha Cloudstv huku akisema kuwa ameona ajitoe ili kulinda heshima yake katika Jamii na kwamba ana mambo mengi ya kufanya zaidi ya kujihusisha na Uongozi wa TFF halafu akaishia tu kuchukiwa au hata kuwekewa Sumu na wale wanaomchukia.

Nawasilisha.
 
Baada ya hivi majuzi kukamatwa akihusishwa kutoa ' rushwa ' huko Mkoani Mwanza Mtangazaji, Mkuu wa Vipindi Clouds fm na Mchambuzi wa Masuala ya Michezo nchini Bwana Shaffih Dauda ametangaza rasmi kujitoa kugombea nafasi ya Ujumbe TFF katika uchaguzi Mkuu ujao.

Shaffih Dauda ametangaza uamuzi huo hivi punde tu akiwa anahojiwa na Kipindi maarufa cha 360 cha Cloudstv huku akisema kuwa ameona ajitoe ili kulinda heshima yake katika Jamii na kwamba ana mambo mengi ya kufanya zaidi ya kujihusisha na Uongozi wa TFF halafu akaishia tu kuchukiwa au hata kuwekewa Sumu na wale wanaomchukia.

Nawasilisha.
Njaa itawauwa hawa wanajiita wachambuzi wa michezo.... Dr. Leaky alifanya hii kazi akiwa na other sources of money... Sasa hawa wakina Shafi, Jesse John, Kumwembe hawataki kutafuta kazi halali, badala yake wamebaki kuuza sura kwenye runinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa wachambuzi wa mpira nao wamekuwa kama domo la udaku kila kitu wanajifanya wanajua akiwemo hawaeleweki ni wanasiasa, waimbaji au madancer EDO K ndo anajiona much knooooooow wastick kwenye mpira over
 
Kwani hizo ni kazi haramu ?

Kumwembe anafanya kazi mwanaspoti anaandika makala analipwa

Anafanya kazi azam media group analipwa

Na kila weekend anaenda south Africa kwenye kampini ya supersport anakatiwa tiketi bure na kulipwa

Sasa kazi gani halali wataka wafanye na huyu mtu kweli awe na njaa ?
 
Sizitaki mbichi hizi baada ya kusanukiwa umetoa mlungula ndio umeamua kujitoa kulinda heshima yako njaa zitawaponzaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata juzi tu katika moja ya posts zangu kuna mahala nilimlaumu sana Shaffih Dauda kujiingiza rasmi katika kutaka ' Uongozi ' ndani ya Soka la Bongo ambalo binafsi siogopi kusema kwamba limejaa Uhuni na lina Wahuni wengi ambao hata uwezo wao wa ' Kufikiri ' ili kulinusuru Soka la Tanzania ni mdogo mno.

Tatizo Dauda alidanganywa sana na Rafiki yake ' Mjanja Mjanja ' Kiongozi wa DRFA Bwana Almasi Kasongo kuwa ajikite TFF wakati ukweli ni kwamba huyo Bwana Kasongo kuna ' mteremko ' fulani wa ' Kimaslahi ' alikuwa anautaka na ameshaanza pia kuupata kupitia ' Ndondo Cup ' hivyo muda mwingi akawa anamuhadaa Shaffih Dauda.

Sasa mambo yameshaharibika kama hivi huku ' Credibility ' yake ikiwa tayari imeshaathirika leo ndiyo anaamua kujitoa katika Kinyang'anyiro. Kwa Mtu mwenye Elimu kubwa na nzuri kama ya Dauda na Mtu ambaye anajitambua kamwe hawezi kuthubutu kugombea Uchaguzi ndani ya TFF hii iliyojaa Wahuni na Mchwa watupu.

Hili liwe fundisho kwa wengine!
 
Kwani hizo ni kazi haramu ?

Kumwembe anafanya kazi mwanaspoti anaandika makala analipwa

Anafanya kazi azam media group analipwa

Na kila weekend anaenda south Africa kwenye kampini ya supersport anakatiwa tiketi bure na kulipwa

Sasa kazi gani halali wataka wafanye na huyu mtu kweli awe na njaa ?
Kuandika Makala Mwanaspoti hulipwi bana. Nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kwenye media house

Azam pia halipwi.

Hiyo ya south anaenda kama mchambuzi. Which i dont think kama wanalipwa salary. Kama wachambuxi wangekuwa wanalipwa basi Supersport watakuwa na ela zaidi ya ACACIA manake kila siku wana wachambuzi wapya, tena kutoka mataifa mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa itawauwa hawa wanajiita wachambuzi wa michezo.... Dr. Leaky alifanya hii kazi akiwa na other sources of money... Sasa hawa wakina Shafi, Jesse John, Kumwembe hawataki kutafuta kazi halali, badala yake wamebaki kuuza sura kwenye runinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Shaffih Ni muajiliwa wa clouds,tena Ni mkuu wa vipindi clouds fm!!eddo anamikataba kibao,sportpesa,super sport pia Ni muajiriwa MCL anaandikia gazeti LA mwanasport.
 
Kuandika Makala Mwanaspoti hulipwi bana. Nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kwenye media house

Azam pia halipwi.

Hiyo ya south anaenda kama mchambuzi. Which i dont think kama wanalipwa salary. Kama wachambuxi wangekuwa wanalipwa basi Supersport watakuwa na ela zaidi ya ACACIA manake kila siku wana wachambuzi wapya, tena kutoka mataifa mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu wa kike
 
Njaa itawauwa hawa wanajiita wachambuzi wa michezo.... Dr. Leaky alifanya hii kazi akiwa na other sources of money... Sasa hawa wakina Shafi, Jesse John, Kumwembe hawataki kutafuta kazi halali, badala yake wamebaki kuuza sura kwenye runinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah....! Yaani hao uliowataja wote hawana shughuli ! Wakati Eddo na Shaffi wanaenda mpaka kwenye mechi live za Duniani !.... Unaropoka kuliko Lissu
 
Shaffih Dauda ni Mkuu wa Idara ya Vipindi vya Michezo.
 
hawa wachambuzi wa mpira nao wamekuwa kama domo la udaku kila kitu wanajifanya wanajua akiwemo hawaeleweki ni wanasiasa, waimbaji au madancer EDO K ndo anajiona much knooooooow wastick kwenye mpira over
Kwani kuna siku Eddo aliwahi kufanya uchambuzi wa singeli !?
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Daaah....! Yaani hao uliowataja wote hawana shughuli ! Wakati Eddo na Shaffi wanaenda mpaka kwenye mechi live za Duniani !.... Unaropoka kuliko Lissu
Kwanza Mkuu umenikisea heshima. Among all unanifananisha na Lisu, kweli?...

Pili, kwenda kuona mechi is it a big deal?.... Wambie wakuonyeshe nyumba walizojenge ndio big deal hapa town... Hawa macelebrity kama huwajui watakupa shida sana ila ukiwa unawajua utajua how they live in usanii way hapa mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuandika Makala Mwanaspoti hulipwi bana. Nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kwenye media house

Azam pia halipwi.

Hiyo ya south anaenda kama mchambuzi. Which i dont think kama wanalipwa salary. Kama wachambuxi wangekuwa wanalipwa basi Supersport watakuwa na ela zaidi ya ACACIA manake kila siku wana wachambuzi wapya, tena kutoka mataifa mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja kwamba simpendi huyo kiumbe ila ukweli ni kuwa wa/analipwa,kuna mkataba mnono tu alisaini kipindi fulani...huko nina uhakika nako ila huko kwingine sijui.
 
Kwanza Mkuu umenikisea heshima. Among all unanifananisha na Lisu, kweli?...

Pili, kwenda kuona mechi is it a big deal?.... Wambie wakuonyeshe nyumba walizojenge ndio big deal hapa town... Hawa macelebrity kama huwajui watakupa shida sana ila ukiwa unawajua utajua how they live in usanii way hapa mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh we jamaa una wivu na shaffih ... Blog yake tu ya shaffih.com kwa matangazo aliyonayo ni ajira tosha.... Namfaham shaffih sidhani kama ana njaa...

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Back
Top Bottom