GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Njaa itawauwa hawa wanajiita wachambuzi wa michezo.... Dr. Leaky alifanya hii kazi akiwa na other sources of money... Sasa hawa wakina Shafi, Jesse John, Kumwembe hawataki kutafuta kazi halali, badala yake wamebaki kuuza sura kwenye runinga tuBaada ya hivi majuzi kukamatwa akihusishwa kutoa ' rushwa ' huko Mkoani Mwanza Mtangazaji, Mkuu wa Vipindi Clouds fm na Mchambuzi wa Masuala ya Michezo nchini Bwana Shaffih Dauda ametangaza rasmi kujitoa kugombea nafasi ya Ujumbe TFF katika uchaguzi Mkuu ujao.
Shaffih Dauda ametangaza uamuzi huo hivi punde tu akiwa anahojiwa na Kipindi maarufa cha 360 cha Cloudstv huku akisema kuwa ameona ajitoe ili kulinda heshima yake katika Jamii na kwamba ana mambo mengi ya kufanya zaidi ya kujihusisha na Uongozi wa TFF halafu akaishia tu kuchukiwa au hata kuwekewa Sumu na wale wanaomchukia.
Nawasilisha.
Kwani hizo ni kazi haramu ?Njaa itawauwa hawa wanajiita wachambuzi wa michezo.... Dr. Leaky alifanya hii kazi akiwa na other sources of money... Sasa hawa wakina Shafi, Jesse John, Kumwembe hawataki kutafuta kazi halali, badala yake wamebaki kuuza sura kwenye runinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizitaki mbichi hizi baada ya kusanukiwa umetoa mlungula ndio umeamua kujitoa kulinda heshima yako njaa zitawaponzaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuandika Makala Mwanaspoti hulipwi bana. Nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kwenye media houseKwani hizo ni kazi haramu ?
Kumwembe anafanya kazi mwanaspoti anaandika makala analipwa
Anafanya kazi azam media group analipwa
Na kila weekend anaenda south Africa kwenye kampini ya supersport anakatiwa tiketi bure na kulipwa
Sasa kazi gani halali wataka wafanye na huyu mtu kweli awe na njaa ?
Shaffih Ni muajiliwa wa clouds,tena Ni mkuu wa vipindi clouds fm!!eddo anamikataba kibao,sportpesa,super sport pia Ni muajiriwa MCL anaandikia gazeti LA mwanasport.Njaa itawauwa hawa wanajiita wachambuzi wa michezo.... Dr. Leaky alifanya hii kazi akiwa na other sources of money... Sasa hawa wakina Shafi, Jesse John, Kumwembe hawataki kutafuta kazi halali, badala yake wamebaki kuuza sura kwenye runinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu wa kikeKuandika Makala Mwanaspoti hulipwi bana. Nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kwenye media house
Azam pia halipwi.
Hiyo ya south anaenda kama mchambuzi. Which i dont think kama wanalipwa salary. Kama wachambuxi wangekuwa wanalipwa basi Supersport watakuwa na ela zaidi ya ACACIA manake kila siku wana wachambuzi wapya, tena kutoka mataifa mbalimbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah....! Yaani hao uliowataja wote hawana shughuli ! Wakati Eddo na Shaffi wanaenda mpaka kwenye mechi live za Duniani !.... Unaropoka kuliko LissuNjaa itawauwa hawa wanajiita wachambuzi wa michezo.... Dr. Leaky alifanya hii kazi akiwa na other sources of money... Sasa hawa wakina Shafi, Jesse John, Kumwembe hawataki kutafuta kazi halali, badala yake wamebaki kuuza sura kwenye runinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna siku Eddo aliwahi kufanya uchambuzi wa singeli !?hawa wachambuzi wa mpira nao wamekuwa kama domo la udaku kila kitu wanajifanya wanajua akiwemo hawaeleweki ni wanasiasa, waimbaji au madancer EDO K ndo anajiona much knooooooow wastick kwenye mpira over
YES/NO? ndiooooooooKwani kuna siku Eddo aliwahi kufanya uchambuzi wa singeli !?
Kwanza Mkuu umenikisea heshima. Among all unanifananisha na Lisu, kweli?...Daaah....! Yaani hao uliowataja wote hawana shughuli ! Wakati Eddo na Shaffi wanaenda mpaka kwenye mechi live za Duniani !.... Unaropoka kuliko Lissu
Pamoja kwamba simpendi huyo kiumbe ila ukweli ni kuwa wa/analipwa,kuna mkataba mnono tu alisaini kipindi fulani...huko nina uhakika nako ila huko kwingine sijui.Kuandika Makala Mwanaspoti hulipwi bana. Nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kwenye media house
Azam pia halipwi.
Hiyo ya south anaenda kama mchambuzi. Which i dont think kama wanalipwa salary. Kama wachambuxi wangekuwa wanalipwa basi Supersport watakuwa na ela zaidi ya ACACIA manake kila siku wana wachambuzi wapya, tena kutoka mataifa mbalimbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh we jamaa una wivu na shaffih ... Blog yake tu ya shaffih.com kwa matangazo aliyonayo ni ajira tosha.... Namfaham shaffih sidhani kama ana njaa...Kwanza Mkuu umenikisea heshima. Among all unanifananisha na Lisu, kweli?...
Pili, kwenda kuona mechi is it a big deal?.... Wambie wakuonyeshe nyumba walizojenge ndio big deal hapa town... Hawa macelebrity kama huwajui watakupa shida sana ila ukiwa unawajua utajua how they live in usanii way hapa mjini
Sent using Jamii Forums mobile app