Mtoto wa Malaya
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 202
- 155
Atakuwa alikuwa hampigi "mti"jamaa muuza sura sana acha flora aolewe na mwanaume
...****..?Msu ****
πππkifurushi cha halichachi,huyo demu mpole tu, sema jamaa alikomaa sana kupaka mafuta angae.Atakuwa alikuwa hampigi "mti"
Kisawasawa.!
Hawa wanawake wa hivyo unatakiwa uwe unasimamia kucha hasa.!
Ikiwezekana unakula mpaka kifurushi cha "Halichachi"
Ohooooo!!!Mbasha tatizo ' Marioo ' ...ajifunze kujitegemea aachane na mambo ya kulelewa ....kazi kujichubua tu na kupenda kuvaa kama mkongo....mwanaume gani hautakiwi ila unalazimisha...
Ohooooo!!!Atakuwa alikuwa hampigi "mti"
Kisawasawa.!
Hawa wanawake wa hivyo unatakiwa uwe unasimamia kucha hasa.!
Ikiwezekana unakula mpaka kifurushi cha "Halichachi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]πππkifurushi cha halichachi,huyo demu mpole tu, sema jamaa alikomaa sana kupaka mafuta angae.
ivi we mjini hapo bongo gwajima anakupora demu we ukazikwe tu.wenzio tunakula milupo ya gwajima deile na anahudumia.
Sure atakuwa ansutamu wa bataUna namba ya flora hapo? Nahisi atakuwa mtamu sana maana mwaume kumg'ang'ania hivyo mwananke siyo bure na baada ya kutengana tu tayari kuna mwanaume mwingine ameshaamua kumchukua bila kujali kashindikana kwa mwanaume mwenziye na mtaani kuna wanawake kibao tu wazuri balaa wanaohitaji kuolewa tena wengine hawana watoto na hawajawahi kuolewa japo kuwa hawana bikira na wameshatoa toa vimimba viwili vitatu tu. Trust me bi dada atakuwa siyo wa kawaida, nadhani lile neno sweet kwake linatafsiri halisi.