Baada ya kukataliwa katakata, Mbasha aamua kuchangisha michango ya harusi ya Flora

Baada ya kukataliwa katakata, Mbasha aamua kuchangisha michango ya harusi ya Flora

Atakuwa alikuwa hampigi "mti"
Kisawasawa.!
Hawa wanawake wa hivyo unatakiwa uwe unasimamia kucha hasa.!
Ikiwezekana unakula mpaka kifurushi cha "Halichachi"
😀😀😀kifurushi cha halichachi,huyo demu mpole tu, sema jamaa alikomaa sana kupaka mafuta angae.

ivi we mjini hapo bongo gwajima anakupora demu we ukazikwe tu.wenzio tunakula milupo ya gwajima deile na anahudumia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una namba ya flora hapo? Nahisi atakuwa mtamu sana maana mwaume kumg'ang'ania hivyo mwananke siyo bure na baada ya kutengana tu tayari kuna mwanaume mwingine ameshaamua kumchukua bila kujali kashindikana kwa mwanaume mwenziye na mtaani kuna wanawake kibao tu wazuri balaa wanaohitaji kuolewa tena wengine hawana watoto na hawajawahi kuolewa japo kuwa hawana bikira na wameshatoa toa vimimba viwili vitatu tu. Trust me bi dada atakuwa siyo wa kawaida, nadhani lile neno sweet kwake linatafsiri halisi.
Sure atakuwa ansutamu wa bata
 
Back
Top Bottom