Baada ya kukatika nchi nzima; umeme warejea!


Siku hizi siyo ari mpya tena, wamebadilisha kiitikio ni kilimo kwanza
 
Siku hizi siyo ari mpya tena, wamebadilisha kiitikio ni kilimo kwanza

Hata kilimo kwanza hakiendi kokote, mafisadi Jeetu na Manji wanagombea kilimo kwanza na matokeo yake mradi huo nao umesimama wakati Serikali ikisubiri Mafisadi waamue wenyewe nani anafanya nini katika kilimo kwanza. Ni usanii tu uliojaa ndani ya Serikali hii.
 
Mambo ya Kakobe hayo yameanzaa alisema maajabu yatatokea, ndio hayo sasa. Alikuwa anazumzingia ule umeme wa pale Tanangozi leo Mchana
 
Mwanakijiji hilo nalo neno. wamekuwa na bumbuwazi hawana mbinu ya kufikiria watakula wapi

wakianza kufikiria itabidi wapumzike kula kwanza.. they can not afford that..
 
Kumbe hili nchi yetu yetu kupindua serikali ni rahisi sana, Tanesco msionyeshe huu udhaifu jamani!mark my words!
 

Just brilliant! wanawasubiri chadema waingie madarakani, kwa sera za CCM wakichukua ushauri wako wanakuwa kama vile eti unaigawa nchi
 
Just brilliant! wanawasubiri chadema waingie madarakani, kwa sera za CCM wakichukua ushauri wako wanakuwa kama vile eti unaigawa nchi

Ujinga mtupu...eti gridi ya taifa....I really don't get this...hii gridi ya taifa inasambaza umeme nchi nzima?
 
Just brilliant! wanawasubiri chadema waingie madarakani, kwa sera za CCM wakichukua ushauri wako wanakuwa kama vile eti unaigawa nchi

karibu nchi zote zinazo gridi za taifa; tatizo liko kwenye uzalishaji... hata sasa hivi Tanzania siyo wazalishaji wote wanaouza umeme kwenye gridi lakini mara kadhaa wazalishaji huru (IPPs) wanauza umeme kwa tanesco ili uingie kwenye gridi..
 
karibu nchi zote zinazo gridi za taifa; tatizo liko kwenye uzalishaji... hata sasa hivi Tanzania siyo wazalishaji wote wanaouza umeme kwenye gridi lakini mara kadhaa wazalishaji huru (IPPs) wanauza umeme kwa tanesco ili uingie kwenye gridi..

Asante kwa info MKJJ, hivi tunao wazalishaji huru wa umeme Tz? I heard wachina kiwira coal mine walitaka wawauzie umeme Tanesco, Tanesco walileta story kibao. Tanesco wako tayari kununua umeme toka kwa watu huru, sijajua sera zao

Na naona gridi ya taifa inabidi iwe robust, kwenye issue kama hizi, kuwa ikitokea itilafu sehemu moja basi isiathiri nchi nzima, kuwe na automatic alternatives za kuepuka hii issue.
 
Hivi hii gridi ya taifa ni limtambo? Na kama ni limtambo...liko wapi?
 
Hili tatizo limekuwepo toka 90's mpaka leo hatujapata majibu. Sisi ni vilaza kiasi hicho hatuna uwezo wa kulipatia hili swala jawabu?
 
Hili tatizo limekuwepo toka 90's mpaka leo hatujapata majibu. Sisi ni vilaza kiasi hicho hatuna uwezo wa kulipatia hili swala jawabu?

Oh yeah...sisi ni vilaza

Lakini mbona hata miaka ya 80 umeme ulikuwaga unakatika katika ovyo ovyo tu....
 


Siasa mara nyingine kweli inachekesha,nina mfano,yani say unampa mtoto kitu flani,halafu baadaye anadai kipya,ukamnyang'anya ulichompa hapo awali,halafu ukamrudishia na kumwaminisha kwamba ni kipya,na mtoto huyo kuruka ruka kwa furaha kama vile kweli ni kipya,kufurahia ama kutokufurahia kwa mtoto huyo kunategemea na umri halisi na level ya uelewa wake. Pia kwa mtoto huyo,jingine ni inategemea na matumizi na umuhimu wa alichonyang'anywa mtoto huyo bila kujali umri na uelewa wake,matumizi ya alichorudishiwa yanaweza kumsahaulisha kudai kile kipya,anaweza kujiridhisha kwamba ni kipya huku akifahamu kabisa kwamba sivyo....Furaha ya kurudishiwa kile alichonyang'anywa ni sawa na furaha ya kupata kipya.

Mfano huo hapo juu ni sawa kabisa na situation iliyotokea,say ccm wanataka kutumia hilo kama karata ya kwamba wana fix matatizo ya wananchi,wale wananchi wenye umeme hawawezi kujua hilo kama wasipokatiwa umeme...Wote tunajuwa adha ya kukosa umeme bongo,umeme ukirudi kusema kweli mnashangilia,halafu ukiwasha tv unasikia waziri anasema tumejitahidi na tatizo lilikuwa hili nk,hapo kimantiki unajikuta umeishangilia serikali kama vile mtoto aliyepata cha zamani na kudhani ni kipya simply kwasababu furaha ya kukipata kile alichonyang'anywa mwanzoni ni sawa na furaha ya madai mapya ya mwananchi,ie kuhusu gharama za umeme nk.

Inategemea na level ya uelewa wa wabongo,wanaweza wakaichagua ccm tena kwa furaha za kurudishiwa umeme ambao walikuwa nao hapo awali lakini wakanyang'anywa kwasababu tu walikuwa na madai mapya ie gharama za umeme,na kwamba serikali ya ccm haifanyi kazi zaidi ya ufisadi.

Kwa kifupi wadanganyika mnabipiwa,mtakoma kuringa,si mnadai wengine wanakimbia nchi,ooh wanabeba mabox,kwanini msifix hayo matatizo?Kama mnaamini mtayafix kwa stlye ya uongozi tulio nao basi mtakaa maana mnapiga debe ooh ccm nambari wani blah blah.
 
Hivi tumemkosea nini Mwenyezi Mungu? Karne hii bado tunazungumzia matatizo ya umeme kwa kutumia miundombinu ya mwaka 47 na wataalamu tunao? Jamani hivi hakuna vyanzo mbadala vya nishati kama upepo,maporomoko ya maji,makaa ya mawe n.k? Tuna matatizo gani jamani?
 

Madai kama hayo yanaweza kusababisha mkakatiwa tena umeme,so be carefull,ni heri muhangaike kutafuta viongozi wapya na si eti kuuliza maswali kama haya,we unadhani ni maswali mangapi utauliza na wakati unajuwa wao watakachofanya ni ku utekenya mtambo kidogo tu na mazungumzo yanaanza upya....Back to square one,huwezi kudai advanced technology kama huna viongozi wenye ku think in advance.
 
Hili tatizo limekuwepo toka 90's mpaka leo hatujapata majibu. Sisi ni vilaza kiasi hicho hatuna uwezo wa kulipatia hili swala jawabu?

Oh yeah...sisi ni vilaza

Lakini mbona hata miaka ya 80 umeme ulikuwaga unakatika katika ovyo ovyo tu....


Ndahani na NN acha niwachekeshe!

Mmenikumbusha jambo; unajua special schools(shule za watu wenye vipaji maalumu) Mzumbe, Kibaha na Ilboru wanafunzi karibu wote wanaomaliza Advanced level (kwenye PCM)wanajiunga UDSM kwenye electrical engineering department

In short hawa wahandisi umeme nchi hii tunaweza tukasema ni best engineers kwa standard zetu na shule walizopitia. Umeme umekuwa na huduma mbaya kabisa kuliko fani yeyote ile ya uhandisi nchi hii ambao wanaenda watu wa kawaida ' siyo akina 'majinius'. Wao wanajitetea eti siasa inawaingilia

Mimi naona kuna tatizo la elimu yetu somewhere, haiwezekani umeme ukatike nchi nzima kama huo umeme unatoka kwenye source tofauti tofauti ! still wajitetee ni siasa
 

Umuhimu wa MAJIMBO upo hapooooo. Karibu CHADEMA utupe nguvu.

Gold inaisha Nzega kujenga hekalu la Rostam kule na Lami kule mitaa ya Monduli mjini wakati mkoani vumbi!!!!!!!!! Ina uma sana, turudini kwenye topic
 
Kama suala la kumaliza mgogoro na Kakobe kuhusu kupita nguzo za umeme serikali itajipongezaa basi kazii ipoo sanaa kukabiliana na changamotoo muhimu za utendajii..

Sijui ingekuwaje kama ingehitajika upanuzi wa kuvunja kabisa kanisa kupisha utekelezaji huo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…