kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Kwanza niombe radhi kwa uandishi wangu wa kijeuri ambao naamini wengi wenu hamkufurahishwa katika posti ya kuombwa kuuziwa gari la milioni tano ambalo naamini nimelikosa kwa sababu ya kauli na majibu yangu machafu naomba mniwie radhi kijana mwenzenu.
Ombi langu kwenu leo kwa upole na unyenyekevu ni ushahuri wa jinsi gani hii pesa naweza kuiweza nakupata quickly return ambayo naamini kwa uvumilivu wangu naweza kuja pata 3× ya hii pesa kwa kipindi cha miezi 6 au mwaka mmoja.
Asanteni nasubiri michango yenu wadau.
Nawatakia weekend njema wote Mungu awabariki.
NB: Mimi niko moja ya mikoa mikame sana hapa Tz.