Baada ya kukosa gari la milioni 5 nimeamua kuwekeza

Baada ya kukosa gari la milioni 5 nimeamua kuwekeza

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
789
Kwanza niombe radhi kwa uandishi wangu wa kijeuri ambao naamini wengi wenu hamkufurahishwa katika posti ya kuombwa kuuziwa gari la milioni tano ambalo naamini nimelikosa kwa sababu ya kauli na majibu yangu machafu naomba mniwie radhi kijana mwenzenu.

Ombi langu kwenu leo kwa upole na unyenyekevu ni ushahuri wa jinsi gani hii pesa naweza kuiweza nakupata quickly return ambayo naamini kwa uvumilivu wangu naweza kuja pata 3× ya hii pesa kwa kipindi cha miezi 6 au mwaka mmoja.

Asanteni nasubiri michango yenu wadau.

Nawatakia weekend njema wote Mungu awabariki.

NB: Mimi niko moja ya mikoa mikame sana hapa Tz.
 
Tatu Mzuka kwa mara nyingine wamevunja rekodi kwa kuwaletea Watanzania jackpot kubwa zaidi kuwahi kutokea nchin.
Donge nono la shilingi milioni 150 litatolewa kwa mshindi mmoja atakayebahatika siku ya kupitia droo ya Supa Mzuka Jackpot.
Kupitia Supa Mzuka Jackpot, Watanzania wanashinda mara 1, si 2 bali nafasi 3 za kushinda kiasi kikubwa cha pesa kwa bei ya soda!
Njia tatu za kushinda na Tatu Mzuka ni;
1) Kushinda hadi milioni 6 kila saa, masaa 24 kwa siku
2) Kushinda Sh100,000,000 kupitia Mzuka Jackpot Jumapili hii, saa 9:30 usiku.
3) Kushinda Tzs.150,000,000 kupitia Supa Mzuka Jackpot tarehe 1
Sebastian Maganga, Afisa Mkuu wa Masoko, wa Tatu Mzuka alielezea namna Supa Mzuka Jackpot inavyofanyika.
"Kwa Sasa kila wakati ukicheza Tatu Mzuka , unapata bure nafasi ya kujishindia Tzs.150 milioni za uhakika kupitia droo ya Supa Mzuka Jackpot" ilifafanua Maganga.
Wiki iliyopita Juma Othman, mshindi wa Mzuka Jackpot aliondoka na Tz.55 milioni. Othman mwenye umri wa miaka 21 tu, ambaye anaishi na mama yake wilayani Bagamoyo, aliishukuru Tatu Mzuka kwani ushindi huo umebadilisha maisha yake.
Tatu Mzuka imebadili maisha ya Watanzania hakika,hadi sasa imetengeneza mamilionea Zaidi ya 70 na kutoa zaidi ya bilioni 3 kwa zaidi ya washindi milioni 1 na laki tatu.
Homa ya Tatu mzuka inapoendelea kupanda, swali linabaki kuwa je? Nani ataondoka na donge kubwa Zaidi katika historia ya Tanzani
 
Chukua hiyo pesa wekeza kwenye biashara ya nafaka kama vile maharage, mchele na hata mahindi. Kwanza fanya utafiti tafuta masoko ya mazao hayo nenda yanakopatikana mazao hayo nunua peleka huko ulikopata soko nina uhakika baada ya miezi sita utarudi hapa kusifia.
Kumbuka chakula ni hitaji muhimu sana la kila mwanadamu.
 
Kwanza niombe radhi kwa uandishi wangu wa kijeuri ambao naamini wengi wenu hamkufurahishwa katika posti ya kuombwa kuuziwa gari la milioni tano ambalo naamini nimelikosa kwa sababu ya kauli na majibu yangu machafu naomba mniwie radhi kijana mwenzenu.

Ombi langu kwenu leo kwa upole na unyenyekevu ni ushahuri wa jinsi gani hii pesa naweza kuiweza nakupata quickly return ambayo naamini kwa uvumilivu wangu naweza kuja pata 3× ya hii pesa kwa kipindi cha miezi 6 au mwaka mmoja.

Asanteni nasubiri michango yenu wadau.

Nawatakia weekend njema wote Mungu awabariki.

NB: Mimi niko moja ya mikoa mikame sana hapa Tz.
Mbona Leo husemi toa uchafu huu?
 
Kacheze forex.., hahah..; ila hakikisha unanunua gari, i can't imagine how naweza kufanikisha mizunguko yangu ya pesa kwa daladala au pikipiki, ningekufa masikini bila gari langu
 
Namsubiri na yule aliyetaka Harrier kwa 8 million. Vitu vingine kama hamvijui msije kichwakichwa. Huwezi kupata gari ya maana kwa Tshs 5m...Utaishia kupata kavitz kazamani kapasso ka toy au terrios kid na vi nissan vidogovidogo...Mje tuwashauri gari za kununua na mtupe fee kabisa tuwaweke wazi kuhusu magari mnayonunua!
 
Chukua hiyo pesa wekeza kwenye biashara ya nafaka kama vile maharage, mchele na hata mahindi. Kwanza fanya utafiti tafuta masoko ya mazao hayo nenda yanakopatikana mazao hayo nunua peleka huko ulikopata soko nina uhakika baada ya miezi sita utarudi hapa kusifia.
Kumbuka chakula ni hitaji muhimu sana la kila mwanadamu.
Asante mkuu ila mimi ni mtumishi wa umma sitoweza mkuu
 
kama utaki risk na unaogopa utaipoteza/matumizi mabovu,ifungulie fixed account subiri uo mwaka au miezi sita utakuwa umepata nini cha kuifanyia utakuwa umeoata na faida kiasi kuliko kukaa nayo na ujui bado cha kuifanyia.
 
Huu uzi comment nyng ni me. naamini ke wao ni moja kwa moja DM wanamshaur jinsi ya kuwekeza bar na lodge.

Utani ke [emoji23] [emoji23]
 
nakushaur kpnd ambacho unasubiri wakushaur kuhusu biashara embu jafbu kufungua ka kabishara ka dogo ka money transfer weka mpesa 2000000
tigo pesa 2000000
airtel money 500000
hiyo laki tano lipa kodi ya miez mitatu na maintanc ya chmba cha biashara
hautajutia na uhakika ukifanya vzur return yake kwa mwez hautakosa 300,000 !na itakufungulia fursa nying kulko za kusibri wakushaur humu...
 
Back
Top Bottom