Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
Mkuu niunganishie kaka yako mmoja kama hao kaka zako wako tofauti na wewe
Hhahah!! Mkuu kwetu mimi pekee ndiye Mcheshi, Muelewa, Muungwana, Mkarimu, Ninayethamini mwanamke, Mwenye upendo na ninayejali maisha ya kila mtu.
Udhaifu wangu ni kuwa sio mvumilivu wa mambo ya kipuuzi, Nina misimamo ya kizamani kuhusu maadili, Sipendi nidharaulike na mali zangu ikiwa ni pamoja na Mke na watoto wangu wachezewe. Kwa hili nipo tayari kwa lolote lakini sio mtu aidharau familia yangu.