Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Duh tangazo limekaa kimichambo zaidi, haya anaetaka mke ajitose hapa....... Ukiona bisibisi kimbia
 
Naangalia hapa kipindi cha Real Time. Kinakufaa sana mleta mada.
 
Ningekuja pm tatizo uliposema tako ni la kawaida na mood imeisha kabisa..
All the best aiseeh na kutafuta kwako mchumba
 
Mkuu kama mwanamke anashindwa kupata mwanaume kwenye mazingira anayoishi ujue yeye mwenyewe ana tatizo.
Duhhh! Kama unatuma application alafu una attitude hivi kwenye mahusiano itakuwaje?
 
kwahiyo Nyege zako anakutoa nani mkuu?
 
Kuzaa na mtu inahitaji utulivu wa ziada...hakuna kitu rahisi kugaramia kuko palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…