Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

sasa mbona kila mtu unamwambia njoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

hawatoshi au
 
Duh na wewe kama unataka kweli mme ni pm
 
Majukumu nimekuzaa???
What if nimekufaa...! Tafuta kazi tumeshutuka mtu hakubali mtu kufanywa egemeo..
Mkuu ukifa c wanachukua wngne mbona mmekuwa waoga hvi jmn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inamaana hao waliokaribu nawe wote hawajakuvutia mpaka ujinadi humu?huenda wewe sio mchoyo ndio mana hata mtaani kwenu hawakutamani mpaka unatafuta wasipo kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubali uwe mwislam nikuoe mke wa pili, unajua usilam ni dini nzuri sana
 
Mkawageuze MPESA wengine siyo mimi..! Mchumba tu unaniletea majukumu ya baba yako.?? Watu wa kusaidia wako wengi viwete, wazee, watoto, wagonjwa na wasijiweza..! Bora nikajipatie thawabu mbinguni nitamhudumia mke wangu tu na tena kutegemea uwezo wangu sipelekeshwi kijinga etii..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…