Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

sasa mbona kila mtu unamwambia njoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

hawatoshi au
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana

Bado sijafunga maombi pm mkujeee
Duh na wewe kama unataka kweli mme ni pm
 
Majukumu nimekuzaa???
What if nimekufaa...! Tafuta kazi tumeshutuka mtu hakubali mtu kufanywa egemeo..
Mkuu ukifa c wanachukua wngne mbona mmekuwa waoga hvi jmn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inamaana hao waliokaribu nawe wote hawajakuvutia mpaka ujinadi humu?huenda wewe sio mchoyo ndio mana hata mtaani kwenu hawakutamani mpaka unatafuta wasipo kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana

Bado sijafunga maombi pm mkujeee
Kubali uwe mwislam nikuoe mke wa pili, unajua usilam ni dini nzuri sana
 
Cjaelewa mantiki yko hasa mkuu!!KE kutokuwa na kz vinahusiana nn na umri wke?!au kutokuolewa?hajakutana na hii mkuu mkeo akiwa na laki 5 ww una laki 2 hesabu ndani ya nyumba mnajumla ya laki 2 na CIO laki saba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]!!poleni xana wakaka mnaoogopa maisha!!
Mkawageuze MPESA wengine siyo mimi..! Mchumba tu unaniletea majukumu ya baba yako.?? Watu wa kusaidia wako wengi viwete, wazee, watoto, wagonjwa na wasijiweza..! Bora nikajipatie thawabu mbinguni nitamhudumia mke wangu tu na tena kutegemea uwezo wangu sipelekeshwi kijinga etii..!
 
Back
Top Bottom