Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Je sisi wanaume wa dar wenye vibamia utatufikilia ?
 
Mama njoo PM...tuanze maisha fasta..ila kwanza tunaanza na mwaka wa Malezi 1 year..alafu pre ndoa test 2 years..alafu ndo tunajipanga kwa ndoa...ila mda wote tunaish pamoja ila nyumba mbalimbali..na hakuna Open Relationship.
 
Kweli hali imekuwa ngumu sana ,,,,,mkuu umekosa mtu wa kukukojolea kimya kimya hadi uweke tangazo?
 
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.

Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm.

Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako nitakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako.

Narudia sitaki maneno mengi pm sms ya kwanza andika nazalisha ya pili tuma picha ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae.


PM IPO WAZI
Kwa huo ujeuri na sifa nilizonazo siji hata kwa dawa....Adopt tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi ni 22 years naruhusiwa kuweka chata apo??????Cc kihuba

Mungu Ni Mwema
 
Dada utakuwa na kasoro yaani umeshindwa hata wa kupiga naye mechi kimya kimya, umeshindwa kabisa!!!!???
Dada yangu naamini wewe ni mrembo kabisa, najua yupo atakayekupenda na kutimizia hitaji lako. Lakini ngoja nikwambie kitu, sio jambo jepesi hilo unalolitaka hapo lazima utangaze dau ili watu wakuletee invoice ya malipo kwa mbegu nzuri unayoihitaji la sivyo bora ukajianike barabarani waje hao waarabu halfu ufanye bila kinga. Kwanza kabla haujaomba picha ya mtu lazima wewe unayetafuta uweke picha yako halafu mwanaume naye akuangalie akuone kama una hadhi ya yeye kulala na wewe yaani kama una hadhi ya dushee kuingia kwako maana unaweza kukuta ni mbovuuuuuuu hadi dusheeeee haisimami
 
Hivi vigezo ni vigumu bora urud kule kule kutafuta mume..Nazalisha njoo Kigoma Ujiji..
 
Back
Top Bottom