Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Achana Na wanaume hawa wakatili wamapenzi tena mbaya kujianika atajua una shida atakuja mwisho Wa siku utateseka wewe subili Mungu atakuletea alie wakwako sali funga omba sali Mungu atakupa naakikupa kumbuka kupima nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikalili banah... sio kila mwanaume katili wa mapenzi, hao mnaowatoa huko msiwalinganishe na kila mtu!!!
 
Kila la kheri, ila kinacho wakosesha watu wengi kuingia kwenye ndoa ni hizi tabia za kuchagua sana tena kwa vigezo vya ajabu ajabu. Hebu fikiria ikatangazwa wajitokeze wanaume wenye umri zaidi ya miaka27, wenye kazi, wenye rangi ya maji ya kunde na warefu futi5, kwa haraka haraka watatokeza wangapi? Chukulia wamejitokeza watu50, baadaye ukaanza kuwa-interview utagundua vitabia vingine usivyo vipenda kama majigambo, dharau na pengine kutokuwa romantic katika maongezi utajikuta umepiga chini zaidi ya 80% walio baki (wanaume 10) ukaenda mbali zaidi kuwachunguza vitabia visivyo onekana kwa muonekano wa haraka kama 'Vibamia', Mirungu mikubwa sana, uwezo mdogo kitandani nakadhalika utajikuta unawa drop tena karibu 80% unabakiwa na wawili au mmoja alafu ukumbuke kwamba huyo mmoja lazima kuwe na double coincidence of wants nikimaanisha kwamba yeye kuwa na vigezo unavyovitaka haimaanishi ndo umempata mtu wa kuoa/kuolewa, NO lazima na yeye awe anataka mtu wa kuoa/kuolewa na sifa za mtu amtakaye lazima wewe uwe nazo.

Kwa hizo complication hapo juu mwisho wa siku lazima umchukie Mungu kwamba hayupo upande wako, mimi ninacho kushauri unapotaka kuolewa au kuoa, muombe sana Mungu atakupa mtu akufaaye usije kushangaa anakupa mlemavu tena asiye na kazi ambaye atakufaa maishani na Mungu akawashushia Neema mbele ya Safari, who knows?

By the way hiyo Avatar yako siyo nzuri katika kipindi hiki unachotafuta mtu
 
Kumsubiri Mungu amletee ni kumchosha Mungu, bora hivi alivyoanza anza mwenyewe kujitangaza😀😀 baadae Mungu na yeye atafukia mashimo kama yatakuwepo
 
nimekupm tang zaman hujibu

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Nakuombea ila legeza masharti kwenye urefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…