Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
Achana Na wanaume hawa wakatili wamapenzi tena mbaya kujianika atajua una shida atakuja mwisho Wa siku utateseka wewe subili Mungu atakuletea alie wakwako sali funga omba sali Mungu atakupa naakikupa kumbuka kupima naeHabari zenu wanachama wa JF,
Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.
Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.
Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana
Sent using Jamii Forums mobile app