[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mpe maelekezo kwenye chumvi
Kutoa mimba je?
umewahi kutoa mimba?ngapi?@lyn sng
Nashukuru mpenzii wangu ntafanya hivyoAchana Na wanaume hawa wakatili wamapenzi tena mbaya kujianika atajua una shida atakuja mwisho Wa siku utateseka wewe subili Mungu atakuletea alie wakwako sali funga omba sali Mungu atakupa naakikupa kumbuka kupima nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Noooooo ni hakuna mwanaume Wa kweliUsikalili banah... sio kila mwanaume katili wa mapenzi, hao mnaowatoa huko msiwalinganishe na kila mtu!!!
Usiseme hivyo... bado unategemea kuolewa na kuwa na familia, ukibaki na hayo mawazo hiyo familia unaivunja kabla hujaanza kuijenga
haswa wewe ni mwanaume kwelikweli tena hongera
Bado nangojea ka-picha hapa, maana vigezo vyote ninavyo.
UREFU- Kuna mabuti yangu hayo nikiyavaa nafikia 5.1
DINI- Hii nitabadilisha tu, sio issue sana.
UMRI- Niko chini ya 27 ila naendelea bado. Na pia hii is just a number.
KUJAALIWA NA MUNGU- Nimejaaliwa mno, issue iliyobaki ni wewe tu kujaaliwa ili tuwe tumejaaliwa wote.
KAZI- Ninayo, maana nabet kila siku.
Nasikia harufu ya ndoa kabisa hapa......[emoji16][emoji16]
No stressssss
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwanamke mzuri tu pia unathamani kubwa sana achana Na wanaume wamitandao nikushauri tafuta Kazi Fanya au biashara tafuta pesa watakufwata wenyewe tena wewe utakuwa nakazi yakuchagua saka life dear Mungu atakupa maana bible neno LA mungu linasema kila mwanadamu Mungu kamuumbia mwenzake wakuishi naeNashukuru mpenzii wangu ntafanya hivyo
Umefunga pm?Kumsubiri Mungu amletee ni kumchosha Mungu, bora hivi alivyoanza anza mwenyewe kujitangaza😀😀 baadae Mungu na yeye atafukia mashimo kama yatakuwepo
Weweeeeeeee sitaki kuutesa moyo wangu tena walaa kujiumiza tenaUsiseme hivyo... bado unategemea kuolewa na kuwa na familia, ukibaki na hayo mawazo hiyo familia unaivunja kabla hujaanza kuijenga
Ndio nimefunga.Umefunga pm?
Nashukuru mpenzi wa mie inaonyesha mkalimu sana na nimuhenga pia kwenye hii hanga ya mapenzi mimi kuna mwenzangu alipata mume humu na wanaishi kwa rahaa sana maisha yanaenda nikajua na mie naweza baatisha hapaWewe ni mwanamke mzuri tu pia unathamani kubwa sana achana Na wanaume wamitandao nikushauri tafuta Kazi Fanya au biashara tafuta pesa watakufwata wenyewe tena wewe utakuwa nakazi yakuchagua saka life dear Mungu atakupa maana bible neno LA mungu linasema kila mwanadamu Mungu kamuumbia mwenzake wakuishi nae
Sent using Jamii Forums mobile app