Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Hii ya kuchagua kwa urefu sijui rangi maji ya kunde mbona mnaihubiri sana!may be huko mitaani kuna wanaokutaka na ndiyo hao ulioandikiwa ila wewe unachagua rangi na urefu,sasa hao unataka wawaoe kinanani kama sio wewe.

Sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Bado nangojea ka-picha hapa, maana vigezo vyote ninavyo.

UREFU- Kuna mabuti yangu hayo nikiyavaa nafikia 5.1

DINI- Hii nitabadilisha tu, sio issue sana.

UMRI- Niko chini ya 27 ila naendelea bado. Na pia hii is just a number.

KUJAALIWA NA MUNGU- Nimejaaliwa mno, issue iliyobaki ni wewe tu kujaaliwa ili tuwe tumejaaliwa wote.

KAZI- Ninayo, maana nabet kila siku.

Nasikia harufu ya ndoa kabisa hapa......[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No stressssss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru mpenzii wangu ntafanya hivyo
Wewe ni mwanamke mzuri tu pia unathamani kubwa sana achana Na wanaume wamitandao nikushauri tafuta Kazi Fanya au biashara tafuta pesa watakufwata wenyewe tena wewe utakuwa nakazi yakuchagua saka life dear Mungu atakupa maana bible neno LA mungu linasema kila mwanadamu Mungu kamuumbia mwenzake wakuishi nae

Nashukuru mpenzi wa mie inaonyesha mkalimu sana na nimuhenga pia kwenye hii hanga ya mapenzi mimi kuna mwenzangu alipata mume humu na wanaishi kwa rahaa sana maisha yanaenda nikajua na mie naweza baatisha hapa
 
Back
Top Bottom