Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Hii Dating site ya humu JF ya tofauti sana aiseee,

Nmezoea Tinder kule mtu anaweka maelezo na picha kabsa....kama huvutiwi unaSwipe kushoto tu,

Ss ww dada kila siku unalia hupati wakati hujaweka vigezo vyote....hujiamin ww,

Weka picha usaidiwe....hta ningekuwa single mm ncngekuja huko PM.

Anyway, kila la kheri....huu ni mtazamo wangu tu.
 
Huu ndio ushauri ss, safi kabisa.
 
You are too desperate, as of this week you have like 4/5 threads crying for the same thing.

Am worried opportunists will take advantage of this, be careful.
 
siyo kweli mkuu sema sifa zake na kashfa zake ili tujue tumeokota dodo au tumeokota tofaa lililooza
Ni sahihi kuuliza sifa zake lakini sio kashfa zake, yule atakayeridhiana na kihuba ndio anapaswa kufahamu hayo.
 
Ni sahihi kuuliza sifa zake lakini sio kashfa zake, yule atakayeridhiana na kihuba ndio anapaswa kufahamu hayo.
Basi angepm watu mmoja mmoja!ukitoa mimba umezaa ila kabla wakati maana maziwa yanatoka na k.d!asiseme tu hajazaa.
 

umebinjika na wangapi
 
Si ulishasema hutaki tena mchumba unatafuta wa kuzaa nae tu....

Kwamba atume picha...aandike sijui kuzaa...
Hebu ngoja nikatafute ule uzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…