Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Hii Dating site ya humu JF ya tofauti sana aiseee,

Nmezoea Tinder kule mtu anaweka maelezo na picha kabsa....kama huvutiwi unaSwipe kushoto tu,

Ss ww dada kila siku unalia hupati wakati hujaweka vigezo vyote....hujiamin ww,

Weka picha usaidiwe....hta ningekuwa single mm ncngekuja huko PM.

Anyway, kila la kheri....huu ni mtazamo wangu tu.
 
Wewe ni mwanamke mzuri tu pia unathamani kubwa sana achana Na wanaume wamitandao nikushauri tafuta Kazi Fanya au biashara tafuta pesa watakufwata wenyewe tena wewe utakuwa nakazi yakuchagua saka life dear Mungu atakupa maana bible neno LA mungu linasema kila mwanadamu Mungu kamuumbia mwenzake wakuishi nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ushauri ss, safi kabisa.
 
You are too desperate, as of this week you have like 4/5 threads crying for the same thing.

Am worried opportunists will take advantage of this, be careful.
 
siyo kweli mkuu sema sifa zake na kashfa zake ili tujue tumeokota dodo au tumeokota tofaa lililooza
Ni sahihi kuuliza sifa zake lakini sio kashfa zake, yule atakayeridhiana na kihuba ndio anapaswa kufahamu hayo.
 
Ni sahihi kuuliza sifa zake lakini sio kashfa zake, yule atakayeridhiana na kihuba ndio anapaswa kufahamu hayo.
Basi angepm watu mmoja mmoja!ukitoa mimba umezaa ila kabla wakati maana maziwa yanatoka na k.d!asiseme tu hajazaa.
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana

umebinjika na wangapi
 
Si ulishasema hutaki tena mchumba unatafuta wa kuzaa nae tu....

Kwamba atume picha...aandike sijui kuzaa...
Hebu ngoja nikatafute ule uzi wako
 
Back
Top Bottom