Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

papuchi inashuka thamani kila kukicha! Mmeamua kuzifanya Incubator siku hizi.
 
Kitakua kibungo hiki.....mnaoenda kuzalisha mtakutana na sura polygon mpaka mzee baba akose nguvu za kusimama.
 
Duuh we unatisha yan mbabe utakae zaa nae anakaazi kweli kweli
 
Utatafuta sana na utabadilisha matangazo kila cku ila hutapata maaana hu..............!!!!
 
Dai domo anakufaa wewe
 
Mzalishaji unamlipaje hujasema maana we ndio mwenye shida
 
PM nazalisha na nina mbegu za kiburushi bao moja ni nusu lita na nina uwezo kupiga bao tano kwa dk 1 sasa niambie huo mtungi wako unauwezo wa kuchaza lita ngapi ili isijetokea mafuriko kitandani ni pm nikuwezeshe mi nipo nakusubiri baby
 
We Mzuri?
Manake hata sie tunapenda kupanda mbegu zetu kwenye shamba zuri.
Isije ikawa vigezo lukuki halaf we mwenyewe polygon
 
Eti nazalisha...
Hawa vjna wa Sirrro wamekuja na mbinu mpya ya kutunyaka...
Kwa mbinu hii sdhani kma watampata mtu[emoji12] [emoji16]
 
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]

Pole sana dadaangu. Si muhimu kuandika kwa mhemko kiasi hicho.
Tulia, usihofu. Haya ni yakawaida.

Amini yupo aliyeumbwa kwaajili yako.
Usikubali kujiona umechelewa.

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.

Usijishushe kiasi hicho.

Mimi siji PM. Blah blah zangu nimezishusha hapa. Ili kila mtu anayekabiliwa na changamoto kama yako aone.

Nifuate PM kama ulikuwa Sirias na ikiwa kweli ulikosa mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…