Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Nashukuru mpenzi wa mie inaonyesha mkalimu sana na nimuhenga pia kwenye hii hanga ya mapenzi mimi kuna mwenzangu alipata mume humu na wanaishi kwa rahaa sana maisha yanaenda nikajua na mie naweza baatisha hapa
Siku zote usitegemee alipofanikiwa mwenzio nawewe utafanikiwa yeye Mungu alimpangia kujakuolewa Na mwanaume atakaetoka hapa sasa unakuta wewe Mungu hajakuandikia humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umeanza kizungu asubuhi hivi mama? Ila sio kesi maana huko ofisini kwangu kwenye kubet lugha ni hii hii, sasa na Mimi nasema hivi... Double chance cap, over three plus gg draw no bet stake tax

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom