Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Hizi hapa ni baadhi ya thread zako:

1. Kama unatafuta mke njoo hapa
2. Natafuta mwanaume wa kuniliwaza basi
3. Bado nasaka mchumba
4. Mwanaume anayehitaji mke karibu
5. Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa naye tu
6. Natafuta mchumba, Mungu akitujalia ndoa
 
unatamanije kuwa kahaba? ndugu yangu unaumri gani na elimu yako kazi yako jee? vinatosha kukufariji ukivuta muda mzuri kwako atatokea tuu.ukahaba haupendezi kwanza hata nafsini tu.ukiona hatokei chukua nafasi zaa mtoto wako nahakika atakuelekeza namna ya kuishi kuliko ukiwa bila mtoto na upweke.ukizaa utajipenda na kujitunza kwa dhamana ya ulezi wa mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume

Kwanini unahangaika kupita njia ndefu na unazunguka zunguka Mkuu? Wewe sema tu kuwa unauza ' Something ' yako na unatafuta Wateja kwani hata humu JF Wazee wa ' Kubai ' tupo kamili gado. Na inaonyesha hata ' Something ' yako nayo itakuwa ni ya ' Kigreti Thinka ' vile vile.
 
Tafuta watumishi wa Mungu waaminifu watakusaidia ktk namna mbalimbali ikiwemo kuji keep busy faida ya kusubiri n.k Wewe ni wathamani kubwa sana machoni pa Mungu! Shida yako ni dada Kwa wanaume unatafuta mapenzi ya Kweli pamoja na matunzo au? Na Je Kama ni hayo huko Kwenye umalaya ndo utawapata wenye vigezo hivyo? Kwa nini unataka kujilipua dada? Lipo Tumaini Kwa kuwa aliyekuumba tupo! Tafuta kinarua ufanye Kama vipi kalime kijijini maisha ni kujipanga na popote !
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Umewahukumu wanaume kwamba hawafai na kwamba umekata tamaa nao. Sasa unaomba ushauri kwa nani, kwa wanawake peke yao au pia wakupe ushauri wanaume walio wabaya?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom