Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

kwa kauli yako hapo kwa kichwa cha habari hakika huwezi pata mme alietulia..... inaonesha wazi huridhiki 🙁🙁🙁
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume

MDADA kwanza jione wa thamani machoni pa mungu, kwanini uwe kahaba? ili kupata mwanaume wa kufanana na wewe anza kwanza kubadilika wewe, usidhani mungu atakupa mwanaume mzuri mcha mungu wakati wewe sio mcha mungu Never mungu humpa mtu wakufanana naye, usimkatie mungu tamaa wakati kusudi alilokuleta duniani bado hujatimiza be humble to every one, then sema mungu baba nimebadilika, na ubadilike kweli then siku akija huyo handsome utajiuliza hivi huyu malaika au mtu?
 
imagine hapo ni mwanaume mmoja kakuchosha sasa ngoja ukutane na mijitu michafu inauka kwapa, mdomo, minywele Tim Tim alafu ndo linakulalia na kukubusu kesho tena linakuja lingine livuta bangi mtondogoo unakutana na mnywa gongo
tema mate chini mungu akuepushe na iyo kazi ya laana
embu weka cv ya unayempenda wanajamii waokoe jahazi
 
Karibu kiumeni kanda ya ziwa, wanapotokea W A N A M U M E .
Natumai utampata uyo mwanaume wa kweli unayemtaka.
 
Unataka mwanaume au unahitaji MWANAMUME?
Wanaume ni wale wanaoishi Dar na sehem za mijini.
Ila WANAMUME ni wale wanaotokea mikoa ya kanda ya ziwa na sehem za vijijini. [emoji23][emoji23].
Nadhani utakuwa umenielewa
 
Dada kwanza kuolewa au kuoa ni mipango ya Mungu...muombe Mungu akusaidie kuwa mstahimilivu kwa mapenzi yake kama uendelee kusubiri ama kukubali hali ya kuto olewa

Jingine jaribu kujichunguza...wanasema adui Wa MTU huwa ndani yake mwenyewe na si nje

Isije ukawa ndo wale wanaotafuta mwanaume shombe shombe...mchaMungu...handsome...mpole sijui mwenye sense of humel...awe na mshahara Wa mil mbili

Huyo huwezi kumpata hadi ufe

carnte himself
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Endelea tuu ukishapata UKIMWI utakuja na uzi mwingine ukisema unatamani kuokoka kwani huoni kigeni kwenye maisha kama ni ufuska umeshafanya sana
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
unaonekana kuwa na stress sana dada.Usipojali nitafute PM nawiwa kuongea na wewe
 
Aiseee
upload_2017-8-31_16-26-45.png
 
Back
Top Bottom