Baada ya kukoswa koswa kuibiwa nimeamua niuze TV, REDIO, NA FRIDGE

Baada ya kukoswa koswa kuibiwa nimeamua niuze TV, REDIO, NA FRIDGE

Wu-Ma

Senior Member
Joined
Dec 1, 2017
Posts
113
Reaction score
277
Iko hivi mi nafanya kazi shirika fulan , huwa tunazurura mikoa mingi , kila mkoa huwa tunakaa at least miez sita .


Kwa sasa tupo DSM , nimechukua chumba mitaa ya KAM college Kimara korogwe, nikanunua baadhi ya vtu vya ndani kama TV hisense smart inch 43, Fridge Aborder 128Liters na Radio Boss 5 in 1.

Kama kawaida Leo nimetoka home kwenda Posta kufanya kazi niliyoagizwa, narudi gheto usku nakuta kitasa cha mlango kimechokonolewa sehemu ya kupitishia ufunguo kiasi cha kupasuliwa , nikajua tu hapa kuna wahuni walitaka kuniotea .. sasa sitaki pressure nimeamua kuviuza hv vtu.

Vina wiki mbili tuu na rist zote zipo
1. Hisense inch 43 smart TV Tsh 550000.

2. Aborder fridge 128 L Tsh 450000.

3. Redio ( subwoofer) Tsh 170000.

4. King'amz cha DSTV pamoja na kifurushi cha Compact na kuna balance ya Tsh 34000.

Mtu akichukua vyote nampa king'amz cha Bure chenye kifurushi cha Compact , kikiisha hcho kifurushi bado kuna balance ya Tsh 34000 we kazi yako ni kuongezea Tu 26000 unaendelea na compact

Piga simu 0742357287

IMG_20230827_025342.jpg
IMG_20230827_025340.jpg
IMG_20230827_025116.jpg
IMG_20230826_231926.jpg
IMG_20230826_231855.jpg
IMG_20230826_231846.jpg
 
TV uliinunua ikiwa inchi 43 umekaa nayo wiki mbili imefika inchi 53 unaonaje ukikaa nayo miezi miwili ili ifike inchi 75?
 
Back
Top Bottom