kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Kwa sababu hawana uwezo wa kuwapata hivyo wanalazimika kuwasingiziaKwanini ni uongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu hawana uwezo wa kuwapata hivyo wanalazimika kuwasingiziaKwanini ni uongo?
Hayo ni maoni pia, ukweli wanaujua wenyewe, mienendo yao ndio inawashtua watu.Kwa sababu hawana uwezo wa kuwapata hivyo wanalazimika kuwasingizia
Mtoto bado mbichi kabisa! Si unaona kifua kilivyosimama
Kiuno hakina shida kama ukiwa exposed na hivi vitu mara kwa mara...(hapo ni kuonyesha love tu ya kawaida kama kuna kitu kingine macho yangeonyesha pasipo na shaka....tatizo tumelelewa kutogusana na binti kiasi kwamba mtu akikukumbatia ile ya kawaida kama vile tufanyapo kwa mama ama dada n.k wengine hupeleka kwenye ngono wengine hutafsiri ni heshima kubwa umepewa)Cheki alivyoshikwa shikwa kiuno.
Wanawake wetu wa kitanzania wanapenda sana kujirahisisha kwa mastaa yaani mpaka wanaboa.
jokate kazaliwa Washington usa na amekulia oysterbay na ndipo anapoishi mpaka leo...
akili za kuolewa na kuoa mapema kisa umri ni tunazo maskini.. yeye anatimiza ndoto zake tu
Kiuno hakina shida kama ukiwa exposed na hivi vitu mara kwa mara...(hapo ni kuonyesha love tu ya kawaida kama kuna kitu kingine macho yangeonyesha pasipo na shaka....tatizo tumelelewa kutogusana na binti kiasi kwamba mtu akikukumbatia ile ya kawaida kama vile tufanyapo kwa mama ama dada n.k wengine hupeleka kwenye ngono wengine hutafsiri ni heshima kubwa umepewa)
Unajua hata mie nilikuwa mlugaluga flani lakini baada ya kujichanganya kwenye shule na mambo mengine nikagundua ni love..ukijenga utamaduni huu kuanzia nyumbani kwa mke wako, watoto,dada, kaka na marafiki utajikuta mawazo ya chini ya miguu yanakuwa hayapo labda kwa ndugu zetu wenye imani ya Kiislam ambao wanafuata kila kitu kama kilivyoagizwa hapo sawaMan hawa wabongo utawaweza wapi. Kuna wengine hata wake zao hawajawahi kuwashika viuno. Wanasubiri wazime taa tu waingize
Ewalaaaaaa!!!!! Waambie sasa wasipende kuhukumu kwa kuangalia mienendoHayo ni maoni pia, ukweli wanaujua wenyewe, mienendo yao ndio inawashtua watu.
Unauliza ndevu kwa mwarabu????Mzigo ushapakuliwa tayariHAPO KAMA HENRY ALIOMBA URODA LAZIMA ALIPEWA FASTA BILA KUCHELEWA.WABONGO KWA KUCHANGAMKIA FURSA
Kuwaita waongo wanaotoa tuhuma ni kuhukumu pia.Ewalaaaaaa!!!!! Waambie sasa wasipende kuhukumu kwa kuangalia mienendo
Nikikuita muongo sijahukumu ila ninachotaka ni uthibitisho wa madai yako je ni kweli?Kuwaita waongo wanaotoa tuhuma ni kuhukumu pia.